Album "Air Weusi" ya WEUSI ni utopolo, tumepigwa mchana kweupe

Album "Air Weusi" ya WEUSI ni utopolo, tumepigwa mchana kweupe

Sikiliza bwana Nikki wa Pili, ile ni album mbovu kwa kipindi hiki cha miaka mitano ya Magufuli, ukweli ni lazima useme ili wakati ujao mtengeneze ngoma nzuri. Album ni mbovu mno, nyimbo zote tuna forward tu

Hakika, huyo ni Nikki mwenyewe!
 
Ukiona kitu hakijakupendeza ujue hakiko kwa ajili yakok
Tutolee mfano ngoma inayochana mawimbi billboard ni drivers license mchukue mtu wa kawaida muulize ile ngoma ina uzuri gani sidhani kama majibu utayapenda
Haya kuna huyu msanii wanamuita the jmosi na jpili a.k.a the weekend anatrend sana kwa sasa ila tafuta raia umuulize kuhusu the weekend atakwambia hana chochote cha kutisha amini ya kuwa kila shetani na mbuyu wake
Kwangu mimi nnawapongeza weusi kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kutuletea mziki mzuri nimeipakua album nzima kupitia audio mack na mda nikiwa niko na bando kama ngoma inavyodai nnaingia spotify kustream atleast niwape company wanangu wa mabongonyoo daraja bela kwa mamaake nikki mdogo wakee jonii


Ahsante nnawasilisha
mzee the weeknd umeanza kumsikilza lini Hadi useme Sasa hivi ndio anatrend?
Jamaa hajawahi kushuka huyo.
 
Albums bora za wakati wote

1.Nitakufaje King crazy GK
2.Machozi lady Lady Jay
3.aka Mimi Albert Mangwea
4.machozi jasho na damu prof jay
5.binamu mwanafa
6.ugari juma Nature
7.J.O.S.E.P.H. prof jay
8.mtoto wa tandale diamond
9.slave become a king
10. mandojo na domokaya
Ya Mwana FA haikua inaitwa 'Toleo Lijalo'?
 
Wenzao wanapiga mchele, kimya kimya bila kwere, wana magari tele na majumba kama mbele
 
Albums bora za wakati wote

1.Nitakufaje King crazy GK
2.Machozi lady Lady Jay
3.aka Mimi Albert Mangwea
4.machozi jasho na damu prof jay
5.binamu mwanafa
6.ugari juma Nature
7.J.O.S.E.P.H. prof jay
8.mtoto wa tandale diamond
9.slave become a king
10. mandojo na domokaya
Umetaja albam kali umeisahau moja tu ya B Love M yenye wimbo wa Nimekuchagua Wewe
 
Albums bora za wakati wote

1.Nitakufaje King crazy GK
2.Machozi lady Lady Jay
3.aka Mimi Albert Mangwea
4.machozi jasho na damu prof jay
5.binamu mwanafa
6.ugari juma Nature
7.J.O.S.E.P.H. prof jay
8.mtoto wa tandale diamond
9.slave become a king
10. mandojo na domokaya
Hiyo number 9 huwezi kulinganisha album ya Afande ,Watu poli,Solo Thangs,Mwana Fa,Jay Mo na historia ya Juma nature,bado Ferooz yaani hiyo album ya Darasa labda kuanzia 30 huko.
 
Mpaka sasa Album zangu bora kutoka mwaka jana mpaka sasa kwa bongo

1.Slave becomes a king -Darassa
2.Slaves becomes a king - Darassa
3.Slaves becimes a king -Darassa
4.Sound of afrika -Rayvanny
5.Afro east -Harmonize
6.Definition of love - Mbosso

Huu sasa ni uongo usio vaa chupi yani Album ya Rayvany hiizidi Album ya Harmonize kweli hahahah
 
Kama humtii wanamtia wengine" Bando" ww unatumia mmoja wenzako wanatumia miwil " Bando' , najisikia kufakufa wapi ufufuo"bando'....hili dude linaitwa penzi LA bando nalikubali sana
 
Kama humtii wanamtia wengine" Bando" ww unatumia mmoja wenzako wanatumia miwil " Bando' , najisikia kufakufa wapi ufufuo"bando'....hili dude linaitwa penzi LA bando nalikubali sana

Utakuwa shabiki wa Hadija Kopa wewe!
 
Back
Top Bottom