Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Mimi Hip Hop ngumuWewe uko bize na Mbosso bila shaka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Hip Hop ngumuWewe uko bize na Mbosso bila shaka!
hizo ndio nyimbo za darasa zenye kuonesha talent yake1. Sikati Tamaa
2. Nishike Mkono
3.
Bila shaka unazungumzia enzi hizo!nye
Kupata vichekesho vingine kama hivi tubonyeze ngapi?
Kuna vitu vinashangaza kweli kweli wameinajisi kivipi sasa!? yaani jinsi unavyo fikili wewe ndo ulitaka iwe hivyo. Hamna kitu Kama hicho they their best and you should respect that. Nyimbo Kali kwangu Manje Kama unabisha andamanaTutajie wimbo mkali kwenye album nzima, hata beat kali ya Mbupu wameinajisi bila haya!
OngezeaAlbums bora za wakati wote
1.Nitakufaje King crazy GK
2.Machozi lady Lady Jay
3.aka Mimi Albert Mangwea
4.machozi jasho na damu prof jay
5.binamu mwanafa
6.ugari juma Nature
7.J.O.S.E.P.H. prof jay
8.mtoto wa tandale diamond
9.slave become a king
10. mandojo na domokaya
yeah!! vipi weweWewe ni Boom BAAP! Kwa sauti ya Moko.
Kuna vitu vinashangaza kweli kweli wameinajisi kivipi sasa!? yaani jinsi unavyo fikili wewe ndo ulitaka iwe hivyo. Hamna kitu Kama hicho they their best and you should respect that. Nyimbo Kali kwangu Manje Kama unabisha andamana
mzee the weeknd umeanza kumsikilza lini Hadi useme Sasa hivi ndio anatrend?
Jamaa hajawahi kushuka huyo.
You're totally wrong..Huwa simsikilizi ila kwa sasa ndio yuko kwenye peak
Hapana Darassa sio Mbahatishaji mkuu...Darassa ni mbahatishaji, ni msanii mzuri ila amekosa creativity ukitaka kugundua hilo cheki ngoma yake ya maisha na mziki
Hiyo ngoma ndio inaonesha namna gani jamii ni mbahatishaji na hana ubunifu, mfululizo wa ngoma zilizofata baada ya maisha na mziki zote ziko katika mtindo huo huo 'flow moja, style moja, na beat linaloendana
Darasa alikuwa vizuri sana kipindi cha nyuma alikuwa akitoa single inakuwa imekidhi vigezo, sio hiki kipindi ambapo hana lyrical mpaka mbishi akamchana "Darasa bila elimu mambo ni bampa to bampa"
Albums bora za wakati wote
1.Nitakufaje King crazy GK
2.Machozi lady Lady Jay
3.aka Mimi Albert Mangwea
4.machozi jasho na damu prof jay
5.binamu mwanafa
6.ugari juma Nature
7.J.O.S.E.P.H. prof jay
8.mtoto wa tandale diamond
9.slave become a king
10. mandojo na domokaya
au aiweke Mkuki moyoni ya Afande SeleToa hio namba tisa, Weka album ya JayMo “Ulimwengu ndo mama”
bro unaijua Starboy? The hills je, Call out my name je, Can't feel my face, I feel it coming je. Prayers je[emoji2]Huwa simsikilizi ila kwa sasa ndio yuko kwenye peak
Hahahaahaaaaa daaaaah [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sikiliza bwana Nikki wa Pili, ile ni album mbovu kwa kipindi hiki cha miaka mitano ya Magufuli, ukweli ni lazima useme ili wakati ujao mtengeneze ngoma nzuri. Album ni mbovu mno, nyimbo zote tuna forward tu
Yule ni demu wake,subiri amuoe na wakae nae miaka miwili hutomsikia hizo tambo kama mwenzie mc pilipiliKuna mmoja wa weusi yeye kusifu mke kila kitu utazani wake za wengine walikosea kuchagua na degree yake hata wewe unasoma
Wangetoa mixtape tu maana wana ngoma kali sanaNdugu zangu, hasa wale wapenda mziki mzuri.
Njooni hapa tusaidiane kushangaa, tumewakosea nini Weusi? Au ni mimi ndo nimezeeka? Au matarajio makubwa kutokana na majina yao?
Mimi naona ni kelele tu kama za watoto fulani hivi wasiojulikana, hamna KITU pale tumepigwa.
Weusi kuweni siriazi, JIPANGENI.
bro unaijua Starboy? The hills je, Call out my name je, Can't feel my face, I feel it coming je. Prayers je[emoji2]
Acha hizo mazee
1. Nitakupa nini mama - King Crazy GKAlbums bora za wakati wote
1.Nitakufaje King crazy GK
2.Machozi lady Lady Jay
3.aka Mimi Albert Mangwea
4.machozi jasho na damu prof jay
5.binamu mwanafa
6.ugari juma Nature
7.J.O.S.E.P.H. prof jay
8.mtoto wa tandale diamond
9.slave become a king
10. mandojo na domokaya