machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 565
- 1,158
Umekosea Mimi sio uliye mtaja. Inaonekana una chuki binafsi na weusi na yamezekana airweusi hujaiskia Ila ushabiki umekujaaBila shaka wewe ni LordEyez, bado nut hazijakaza fureshii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekosea Mimi sio uliye mtaja. Inaonekana una chuki binafsi na weusi na yamezekana airweusi hujaiskia Ila ushabiki umekujaaBila shaka wewe ni LordEyez, bado nut hazijakaza fureshii
Kote wameharibu ila hapa ni extremeMayai mawili ni MBUPU.
Na G nako kawa overrated ngoma nzima anapayuka tu hamna lyricalProducer Goncha kawanyongea bonge la beat,wenyewe wameishia kuweka maneno ya hovyo huku nikkwapili akirap kiwaki..
Weusi wanazingua.
Darassa ni mbahatishaji, ni msanii mzuri ila amekosa creativity ukitaka kugundua hilo cheki ngoma yake ya maisha na mzikiebu kuwa serious mkuu album ya darassa mbona utumbo mtupu
album nzima anaimba style moja
kwanini unapenda vibovu?Naomba msaada wa namna ya kudownload hizo Ulbum
Mtu hawezi kunichagulia kipi kibovu au kipi kizuri hiyo naamua mwenyewekwanini unapenda vibovu?
umeambiwa mbovu na bado unataka ku download aiseee
Kwahiyo huo mstar ni wa khadija kopa? Watu wengine bwanaUtakuwa shabiki wa Hadija Kopa wewe!
Dah!! Sophia George.. Tape No 23 kwenye Library ya msure enzi hizo... " jamani sukari mbele" nilikua naimba hivyo sijui huo wimbo unaitwaje niutafute tena.Sophia George
Mill vanilli
Black boxer
Kci n Jojo
Alpha blonde
wala sijasita kukupa like kwa ulichokiandika mstari wa mwishoAlbam zangu bora
Slave become a king-darasa kila wimbo chuma.
The verteller-Dizasta vina ni noma
Nakuelewa kwa mfano huo... darasa kabadilishwa na maisha na mziki... kabaki na muendelezo wa verse zilezile yaani ni sawa ana verse kumi azigawe mara mbili atafute beat na chorus aseme ana nyimbo tano.Darassa ni mbahatishaji, ni msanii mzuri ila amekosa creativity ukitaka kugundua hilo cheki ngoma yake ya maisha na mziki
Hiyo ngoma ndio inaonesha namna gani jamii ni mbahatishaji na hana ubunifu, mfululizo wa ngoma zilizofata baada ya maisha na mziki zote ziko katika mtindo huo huo 'flow moja, style moja, na beat linaloendana
Darasa alikuwa vizuri sana kipindi cha nyuma alikuwa akitoa single inakuwa imekidhi vigezo, sio hiki kipindi ambapo hana lyrical mpaka mbishi akamchana "Darasa bila elimu mambo ni bampa to bampa"
amepoteza ubunifu kabisaDarassa ni mbahatishaji, ni msanii mzuri ila amekosa creativity ukitaka kugundua hilo cheki ngoma yake ya maisha na mziki
Hiyo ngoma ndio inaonesha namna gani jamii ni mbahatishaji na hana ubunifu, mfululizo wa ngoma zilizofata baada ya maisha na mziki zote ziko katika mtindo huo huo 'flow moja, style moja, na beat linaloendana
Darasa alikuwa vizuri sana kipindi cha nyuma alikuwa akitoa single inakuwa imekidhi vigezo, sio hiki kipindi ambapo hana lyrical mpaka mbishi akamchana "Darasa bila elimu mambo ni bampa to bampa"
Njia za [emoji242]Kwa kununua au kinyemela?
Hiphop imeokoa maisha yangu Lupe Fiasco, Achia njia Darassa wahuni tuje ki-hardcore!Kipindi cha nyuma alikuwa akitoa single inakuwa imekidhi vigezo, sio hiki kipindi ambapo hana lyrical mpaka mbishi akamchana "Darasa bila elimu mambo ni bampa to bampa"