Definition of Love 💥💥💥Mpaka sasa Album zangu bora kutoka mwaka jana mpaka sasa kwa bongo
1.Slave becomes a king -Darassa
2.Slaves becomes a king - Darassa
3.Slaves becimes a king -Darassa
4.Sound of afrika -Rayvanny
5.Afro east -Harmonize
6.Definition of love - Mbosso
Ila Cha kwake kwanini asikisifieKuna mmoja wa weusi yeye kusifu mke kila kitu utazani wake za wengine walikosea kuchagua na degree yake hata wewe unasoma
😂😂 Jamaa amezidi promo kwa mkeweKuna mmoja wa weusi yeye kusifu mke kila kitu utazani wake za wengine walikosea kuchagua na degree yake hata wewe unasoma
Albums bora za wakati woteMpaka sasa Album zangu bora kutoka mwaka jana mpaka sasa kwa bongo
1.Slave becomes a king -Darassa
2.Slaves becomes a king - Darassa
3.Slaves becimes a king -Darassa
4.Sound of afrika -Rayvanny
5.Afro east -Harmonize
6.Definition of love - Mbosso
Kuna mmoja wa weusi yeye kusifu mke kila kitu utazani wake za wengine walikosea kuchagua na degree yake hata wewe unasoma
A. K.A mimi one of the greatest albumsAlbums bora za wakati wote
1.Nitakufaje King crazy GK
2.Machozi lady Lady Jay
3.aka Mimi Albert Mangwea
4.machozi jasho na damu prof jay
5.binamu mwanafa
6.ugari juma Nature
7.J.O.S.E.P.H. prof jay
8.mtoto wa tandale diamond
9.slave become a king
10. mandojo na domokaya
Mayai mawili ni MBUPU.Ndugu zangu, hasa wale wapenda mziki mzuri.
Njooni hapa tusaidiane kushangaa, tumewakosea nini Weusi? Au ni mimi ndo nimezeeka? Au matarajio makubwa kutokana na majina yao?
Mimi naona ni kelele tu kama za watoto fulani hivi wasiojulikana, hamna KITU pale tumepigwa.
Weusi kuweni siriazi, JIPANGENI.
Producer Goncha kawanyongea bonge la beat,wenyewe wameishia kuweka maneno ya hovyo huku nikkwapili akirap kiwaki..Mayai mawili ni MBUPU.
Mara ya mwisho kununua Album ilikua ni ya Daz Nundaz.
Hii album niliikubali sana wakati huo anko wangu aliinunua.Mara ya mwisho kununua Album ilikua ni ya Daz Nundaz.
ebu kuwa serious mkuu album ya darassa mbona utumbo mtupuMpaka sasa Album zangu bora kutoka mwaka jana mpaka sasa kwa bongo
1.Slave becomes a king -Darassa
2.Slaves becomes a king - Darassa
3.Slaves becimes a king -Darassa
4.Sound of afrika -Rayvanny
5.Afro east -Harmonize
6.Definition of love - Mbosso