Album "Air Weusi" ya WEUSI ni utopolo, tumepigwa mchana kweupe

Haitwi the weekend, ni The Weeknd.
Halafu muombe msamaha huyo jamaa.
Wajukuu zangu wakiniuliza ni akina nani walikuwa watoto wa Michael Jackson, nitawataja The Weeknd na Bruno Mars.
 
Hapo nyimbo ni; sikati tamaa, kama utanipenda na maisha na muziki ambao ulibebwa na hype. Huo like it, sho madjozi anabweka kama mbwa kapigwa jiwe......
 
Haitwi the weekend, ni The Weeknd.
Halafu muombe msamaha huyo jamaa.
Wajukuu zangu wakiniuliza ni akina nani walikuwa watoto wa Michael Jackson, nitawataja The Weend na Bruno Mars.

The weend ndio msanii gani?! Au na wewe ndio wale wale ujuaji mwingi alafu kichwani umebeba kapu la funza?!

Watakukuta au utakuwa ushakufa kwa ugumu wa maisha?!
 
Umesahau Album za
Wachuja nafaka
Wagosi wa kaya
 
Mpaka sasa Album zangu bora kutoka mwaka jana mpaka sasa kwa bongo

1.Slave becomes a king -Darassa
2.Slaves becomes a king - Darassa
3.Slaves becimes a king -Darassa
4.Sound of afrika -Rayvanny
5.Afro east -Harmonize
6.Definition of love - Mbosso

1 mpaka 3 sawa kuanzia mpaka 6 hamna album hapo ni mkusanyiko wa nyimbo tu album gani hazina theme
 
A.k.A Mimi
Soga za mzawa
Machozi Jasho na damu
Ulimwengu ndo Mama
Wachuja nafaka
Funga kazi 2000
Nini Chanzo
Deiwaka
Elimu Dunia
Machozi
Huo ni mfano wa kipindi ambacho kulikua na albums,kipindi hiki kuna collection ya hit songs,hakuna albums.
 
Hii album ni mbovu sana, ni mbovu zaidi ya utopolo wenyewe.

Niliacha kuwasikiliza weusi kitambo kidogo ila baada ya kusikia wametoa album nikawapa benefit of the doubt; nikaishia kujilaumu kwa kupotezewa muda tu.

Weusi wanaimba kitu ninachoita baby rhymes yani mistari ya kitoto sana. Hawaeleweki, hakuna mpangilio na beats nazo ni mbovu. Album lazima iwe na theme na cohesion kitu ambacho hakipo kabisa kwenye hii album yao.

Joh Makini ndo rapper ambaye inawezekana alifikia peak na kushuka haraka kuliko rapper mwingine yeyote yule duniani. Ukimsikiliza Joh wa niaje ni vp, kilimanjaro, blue magic, chochote popote, higher, show za joh, everytime na huyu wa hii miaka ya karibuni tofauti yao ni mbngu na ardhi.
 

Unajua kwa nini media kama mawingu zinawapa sifa mwisho wa siku wanaropoka mitandaoni wakijiona wanajua kumbe vilaza
 
Unajua kwa nini media kama mawingu zinawapa sifa mwisho wa siku wanaropoka mitandaoni wakijiona wanajua kumbe vilaza

Sijui mkuu sijui nini kinaendelea redioni.
 
“WEHU - SI - SISI”.......kikosi kazi
Hao jamaa ni wazinguaji kitambo tu.Joh aliacha kufanya muziki zamaani,Lord Eyez mnako nafikiri alistaafu game,huyu wa sasa wa kichina,G nako nafikiri anafanya genre tofauti na anayitakiwa kufanya na yule “msomi” nadhani aendelee kutafiti tu kama Dubai huwa wanafanya uchaguzi au vipi.
MIZINGUO TU
 
Je, tuwaambie ukweli au tuwaache tu?

Kwa maoni yangu tuwaache tu, wanajifanya wajuaji mno kumbe walishapotea kitambo.... Bahati yao I got respect for Watengwa na Vato!

The so called msomi wa shahada sijajua amesoma nini.!
 
Kama humtii wanamtia wengine" Bando" ww unatumia mmoja wenzako wanatumia miwil " Bando' , najisikia kufakufa wapi ufufuo"bando'....hili dude linaitwa penzi LA bando nalikubali sana

Nakula hiyo pini hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…