M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Hivi Konde boy ana uraia wa Italy?Ukisample lazima pate kibari toka kwa mtunzi na mwenye rekodi kisha ulipie royalities. Kama hakufuata hili itamcost.. sema dogo ana majanga hadi namuonea huruma ila anapambana
Ndo mjue sasa kuwa harmonize asifanye vitu ili kumuoutclass Mond , mwenzake ana fanbase kindakindaki , kwa sasa kukimbizana Naye ataishia kupata hasara tuu.....akubali Tu Kwanza kuwa yey ni msanii wa kawaida anayetakiwa atoboe sasaTanzania kuna misukule wa Diamond balaa.
Huyu jamaa kawaroga aisee, siyo kwa utumwa huu
Tanzania kuna misukule wa Diamond balaa.
Huyu jamaa kawaroga aisee, siyo kwa utumwa huu
Hbaba huyu huyu ambaye kutwa anazunguka kwa waganga kusafisha nyota iliyoharibikaPromo nyingi lakini cha maana àĺichokifanya hakuna ana team kubwa ya watu ambayo vichwani ni zero kazi kupiga umbea tu ikiongozwa na H baba.
Nitashangaa sana kama wewe ni wa kiume halafu una mindset ya hivyoNdo mjue sasa kuwa harmonize asifanye vitu ili kumuoutclass Mond , mwenzake ana fanbase kindakindaki , kwa sasa kukimbizana Naye ataishia kupata hasara tuu.....akubali Tu Kwanza kuwa yey ni msanii wa kawaida anayetakiwa atoboe sasa
Mkuu hii nakata mchana kweupe! African beuty sio sampling ya They don't care about us.Sampling inaruhusiwa. Copying inazuiliwa.
African beauty ya Diamond ni sample ya wimbo wa Michael Jackson They don't care about us.
kwa hyo mkuu ngoma ya diamond jeje kalipia kwa wizkidayo????Ukisample lazima pate kibari toka kwa mtunzi na mwenye rekodi kisha ulipie royalities. Kama hakufuata hili itamcost.. sema dogo ana majanga hadi namuonea huruma ila anapambana
Hajasample producer aliyetengeneza ngoma ya wizikid na jeje ile ya mniger ndiye huyo huyo katengeneza jeje ya diamond. Ilw ni style yake ya beat ni sawa na beat za kimamba huoni zinafanana fani? Ni identity ya producerkwa hyo mkuu ngoma ya diamond jeje kalipia kwa wizkidayo????
Ndugu yangu nafanya hii kazi kila siku sijakurupuka. Fuatilia mapigo ya drums. Usisikilize kama msikilizaji wa kawaida.Mkuu hii nakata mchana kweupe! African beuty sio sampling ya They don't care about us.
Load... vzr mafile yako mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Remix unajua maana yakena sampling unajua maana yake?Hana akili huyo. Analeta album ya remix!
sio lazima uipende mkuuNaona mnataka kuongeva views kijanjaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Album imebuma dogo ajipangee tu kwa kwel nyimbo karibu zote mbovu
sawa mkuu nimekuelewa kwa hyo kwa harmonize tatzo linakuja wap???Hajasample producer aliyetengeneza ngoma ya wizikid na jeje ile ya mniger ndiye huyo huyo katengeneza jeje ya diamond. Ilw ni style yake ya beat ni sawa na beat za kimamba huoni zinafanana fani? Ni identity ya producer
Naamini pia wewe ni mmoja wa misukule cos mada inahusu kufutwa kwa album ya harmo wewe unamzungumzia mondiTanzania kuna misukule wa Diamond balaa.
Huyu jamaa kawaroga aisee, siyo kwa utumwa huu
Sijajua ila nilisikiliza album review nyimbo nyingi kachukua mahadhi ya nyimbo za watu ndani na nje huenda bila makubariano. Mfano kuna wimbo aliimba vanessa mdee na maua sama kuna kionjo walitumia cha wayne wonder unaitwa bounce along, walifuata utaratibu wakalipia royalitiessawa mkuu nimekuelewa kwa hyo kwa harmonize tatzo linakuja wap???
Dada una chuki na CCM ile mbaya kwani CCM wamekukosea Nini?Asante YouTube
Ulikuwa ni uchafu
Na ile ya kumsifia Magu wamefuta?
Hata huyu dangote sijui nani naye akae mkao wa kunyolewa
Bongo miziki imekuwa holelaholela