Album ya Harmonize yafutwa YouTube & Boomplay

Album ya Harmonize yafutwa YouTube & Boomplay

Tanzania kuna misukule wa Diamond balaa.

Huyu jamaa kawaroga aisee, siyo kwa utumwa huu
 
Tanzania kuna misukule wa Diamond balaa.

Huyu jamaa kawaroga aisee, siyo kwa utumwa huu
Ndo mjue sasa kuwa harmonize asifanye vitu ili kumuoutclass Mond , mwenzake ana fanbase kindakindaki , kwa sasa kukimbizana Naye ataishia kupata hasara tuu.....akubali Tu Kwanza kuwa yey ni msanii wa kawaida anayetakiwa atoboe sasa
 
Promo nyingi lakini cha maana àĺichokifanya hakuna ana team kubwa ya watu ambayo vichwani ni zero kazi kupiga umbea tu ikiongozwa na H baba.
Hbaba huyu huyu ambaye kutwa anazunguka kwa waganga kusafisha nyota iliyoharibika
 
Asante YouTube
Ulikuwa ni uchafu
Na ile ya kumsifia Magu wamefuta?
Hata huyu dangote sijui nani naye akae mkao wa kunyolewa
Bongo miziki imekuwa holelaholela
 
Ndo mjue sasa kuwa harmonize asifanye vitu ili kumuoutclass Mond , mwenzake ana fanbase kindakindaki , kwa sasa kukimbizana Naye ataishia kupata hasara tuu.....akubali Tu Kwanza kuwa yey ni msanii wa kawaida anayetakiwa atoboe sasa
Nitashangaa sana kama wewe ni wa kiume halafu una mindset ya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisample lazima pate kibari toka kwa mtunzi na mwenye rekodi kisha ulipie royalities. Kama hakufuata hili itamcost.. sema dogo ana majanga hadi namuonea huruma ila anapambana
kwa hyo mkuu ngoma ya diamond jeje kalipia kwa wizkidayo????
 
kwa hyo mkuu ngoma ya diamond jeje kalipia kwa wizkidayo????
Hajasample producer aliyetengeneza ngoma ya wizikid na jeje ile ya mniger ndiye huyo huyo katengeneza jeje ya diamond. Ilw ni style yake ya beat ni sawa na beat za kimamba huoni zinafanana fani? Ni identity ya producer
 
Mkuu hii nakata mchana kweupe! African beuty sio sampling ya They don't care about us.
Load... vzr mafile yako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu nafanya hii kazi kila siku sijakurupuka. Fuatilia mapigo ya drums. Usisikilize kama msikilizaji wa kawaida.
Angalia breakdown ya hiyo beat iliyofanywa na Krizz Beatz mwenyewe utagundua jambo.

Hajasample producer aliyetengeneza ngoma ya wizikid na jeje ile ya mniger ndiye huyo huyo katengeneza jeje ya diamond. Ilw ni style yake ya beat ni sawa na beat za kimamba huoni zinafanana fani? Ni identity ya producer
sawa mkuu nimekuelewa kwa hyo kwa harmonize tatzo linakuja wap???
 
Tanzania kuna misukule wa Diamond balaa.

Huyu jamaa kawaroga aisee, siyo kwa utumwa huu
Naamini pia wewe ni mmoja wa misukule cos mada inahusu kufutwa kwa album ya harmo wewe unamzungumzia mondi
 
sawa mkuu nimekuelewa kwa hyo kwa harmonize tatzo linakuja wap???
Sijajua ila nilisikiliza album review nyimbo nyingi kachukua mahadhi ya nyimbo za watu ndani na nje huenda bila makubariano. Mfano kuna wimbo aliimba vanessa mdee na maua sama kuna kionjo walitumia cha wayne wonder unaitwa bounce along, walifuata utaratibu wakalipia royalities
 
Asante YouTube
Ulikuwa ni uchafu
Na ile ya kumsifia Magu wamefuta?
Hata huyu dangote sijui nani naye akae mkao wa kunyolewa
Bongo miziki imekuwa holelaholela
Dada una chuki na CCM ile mbaya kwani CCM wamekukosea Nini?
 
Back
Top Bottom