Captain-Sparta
Senior Member
- Sep 9, 2016
- 175
- 172
Iyo inaitwaga Street vibez!Mimi cjuagi kwa nn napenda kunywa bia pale dukan au kwenye kile kigrosari cha yule bi mkubwa kwenye meza 2 wakati jirani tu kuna baa ya maana!
Mbona tunakuwaga washkaji kibao na tena pako barabarani wazi,ila washkaji wakule bar tunakuwaga nao huko ila mara chache sana!Iyo inaitwaga Street vibez!
Ila sio siri ukiona unaingia baa za uchochoroni au chimbo unapenda kujificha au ww ni mchoyo
hahaha pamoja sana mkuu!Dah umenitoa ushamba mkuu ningejulia wap misemo ya kisasa[emoji106]
Hizo ndio zangu pia mkuu..na wanywaji wa bia nyingi zao ndio hizoMimi cjuagi kwa nn napenda kunywa bia pale dukan au kwenye kile kigrosari cha yule bi mkubwa kwenye meza 2 wakati jirani tu kuna baa ya maana!
Sio kichwa panzi bali ni mlevi sana na dakika sifuri anaweza kuanzisha fujo,so akinywea kitaa watu watamvumilia au atawaonea aibu!Bwana Jambazi mbona kama inaonesha wewe ni kichwa Panzi... [emoji219]
Kweli mkuu mwili ukae sawaNgoja na mimi nikaitafte balimi ndogo maana aka kabaridiiii
Mzigo wa weekend huu.sijui nianze ipiHawatakiwi kunywa au?
Kama unakasi yakunywa kama mimi saa tatu haikukuti salama mkuuUkinywa si ndo unapata akili kubwa mzee ama?Mzigo wa weekend huu.sijui nianze ipi
Sina kampan.mkuu jisogeze
Tunaweza fanya
Tequila sunrise
Gin tonic
Wisky sour
Magarita
Irish coffee
Ni wewe tuView attachment 744249
Hii kidude kina tbs?mbona kama kinaweza kukumaliza mapema sanaNa sisi waliotubania viroba sio mbaya...tumehamia huku
Mkuu saiz na baridi hili la kaskazini stimu hazipandiKama unakasi yakunywa kama mimi saa tatu haikukuti salama mkuu
anhaa **** makeNakunywa kila kitu kasoro sumu
mkiwa tungi mkiwa mtu shazi hulewi fasta. Nna wananguh 3 walevi kinoma. tukiwa wote, kushusha kreti la safari ni jambo dogo sanahPombe za kampan kubwa huwabtamu sanaView attachment 736133
Hawaii apo tunakiwashaga sanah, mwananguh kashawagonga wahudumu wa hapo sanah tu..Hawaii kimara Baruti nakunywa windock now karibuni
Siku nne zinakimbia mnoNimeamka natafuta chochote kitu cha kunywa ndani hamna..kumbe jana nimekomba vyote daaaah