Captain-Sparta
Senior Member
- Sep 9, 2016
- 175
- 172
Iyo inaitwaga Street vibez!Mimi cjuagi kwa nn napenda kunywa bia pale dukan au kwenye kile kigrosari cha yule bi mkubwa kwenye meza 2 wakati jirani tu kuna baa ya maana!
Ila sio siri ukiona unaingia baa za uchochoroni au chimbo unapenda kujificha au ww ni mchoyo