Alcohol drinkers special thread

Alcohol drinkers special thread

Mimi cjuagi kwa nn napenda kunywa bia pale dukan au kwenye kile kigrosari cha yule bi mkubwa kwenye meza 2 wakati jirani tu kuna baa ya maana!
Iyo inaitwaga Street vibez!
Ila sio siri ukiona unaingia baa za uchochoroni au chimbo unapenda kujificha au ww ni mchoyo
 
Iyo inaitwaga Street vibez!
Ila sio siri ukiona unaingia baa za uchochoroni au chimbo unapenda kujificha au ww ni mchoyo
Mbona tunakuwaga washkaji kibao na tena pako barabarani wazi,ila washkaji wakule bar tunakuwaga nao huko ila mara chache sana!
 
Mimi cjuagi kwa nn napenda kunywa bia pale dukan au kwenye kile kigrosari cha yule bi mkubwa kwenye meza 2 wakati jirani tu kuna baa ya maana!
Hizo ndio zangu pia mkuu..na wanywaji wa bia nyingi zao ndio hizo
 
Ukinywa si ndo unapata akili kubwa mzee ama?
Hawatakiwi kunywa au?
Mzigo wa weekend huu.sijui nianze ipi

Sina kampan.mkuu jisogeze

Tunaweza fanya
Tequila sunrise
Gin tonic
Wisky sour
Magarita
Irish coffee

Ni wewe tu
20180414_125932.jpg
 
Tunashusha faru John taratibu na wananguh, tunatoa baridi.
 
Back
Top Bottom