Alex Massawe: Umaarufu wake unatokana na nini?

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Nifahamisheni huyu jamaa ana umaarufu gani hasa? Nimekuwa nikisikia akitajwa sana na vyombo vya habari kuwa amekamatwa, nijuzeni
 
He is the Director of Organised Crimes of Tanzania (DOCT).....With a host of deputies

massawe+(1).jpg
 
Alex ni jambazi mkwa tz na huwa ana timu yake kutokea kenya kwa kazi hiyo haendi yeye kuvamia
 
Pamoja na hayo yote tunayoyasikia pia nasikia ndiye mmiliki wa A.M Investment. Sijui yana ukweli kiasi gani.

ni kweli ni mmiliki wa Alex Massawe Investiments.

Ila amekamatwa kwasababu alimuua mfanyabiashara maarufu hapa Dar akishirikiana na Papaa Msofee
 
Niliwahi kukutana naye. Kwa muonekano: He's a 'real gentleman' and family man. CCM msimpie madongo. Amekisaidia sana CCM - ni mwanachama wake mtiifu. Amechangia sana kwenye ushindi wa ccm ktk chaguzi hasa hizi mbili zilizopita. Mfano, uchaguzi ulopita alitoa sh. Milioni 800. Ofisini kwake utakuta picha alizopiga na viongozi wa ccm n serikali. Nina uhakika ccm hawatamtupa 'mtu' wao. Kama Zombe 'walimtoa'....
 
Mkuu nado haijathibitishwa bado hivyo bado ni mtuhumiwa tu wa mauaji hayo!
 
Nifahamisheni huyu jamaa ana umaarufu gani hasa? Nimekuwa nikisikia akitajwa sana na vyombo vya habari kuwa amekamatwa, nijuzeni

Muuza unga mkubwa, tapeli, jambazi, na muuaji. Eti kumbe na yeye anaogopa kifo ndiyo maana alikimbilia Afrika Kusini kuogopa kunyongwa. Wapuuzi wengine bwana, leteni mburula huyu anyofolewe pumbu na ahasiwe ili akashughulikiwe jela kabla ya kuchinjwa hadharani.
 
Mkuu nado haijathibitishwa bado hivyo bado ni mtuhumiwa tu wa mauaji hayo!

Kwa nini alikimbilia south africa na alipoona wamejua akaenda Dubai kwa passport ya bandia, fingerprint ndo zimemuumbua
 
Mkuu nado haijathibitishwa bado hivyo bado ni mtuhumiwa tu wa mauaji hayo!

mkuu usiseme haijathibitishwa manake haya manen ya polis ndiyo ambayo humpamba mkosaji wakati ni gulit. kama hakuua kwann alikuwa natumia pass 3 tofauti?? finger prints zinaonyesha anaitwa alex massawe huku pass zikiwa na majina tofauti na moja ikiwa na jina la alex. akiulizwa anakataa nasema yeye haitwi alex.

wakati kesha muua mume wa mtu mkewe naye wanamnyanyasa kumtoa kwenye nyumba. huyu bwana ni professional criminal yaani nataman hata ingekuwepo sheria ya kunyongwa anyongwe tu lkn utaskia kafungwa miaka 7..
 
Dah!7, mbona michache?
 
ni mfazili na mchangiaj aliotukuka wa chama cha mapinduz ccm uyu jamaa anachangiaga ela ndefu kwa ccm aoni hatari kuchangia million 800 kwa chama. mengine ya ujambaz sina uhakika nasikia tu
 
Niliwahi kukutana naye. Kwa muonekano: He's a 'real gentleman' and family man. CCM msimpie madongo. Amekisaidia sana CCM - ni mwanachama wake mtiifu. Amechangia sana kwenye ushindi wa ccm ktk chaguzi hasa hizi mbili zilizopita. Mfano, uchaguzi ulopita alitoa sh. Milioni 800. Ofisini kwake utakuta picha alizopiga na viongozi wa ccm n serikali. Nina uhakika ccm hawatamtupa 'mtu' wao. Kama Zombe 'walimtoa'....

Hiyo ndio kazi ya pesa haramu. Hata makanisani majambazi yanaongoza kwa sadaka kubwa
 
Bado sheria zetu sio nzuri za kuweza kumkuta mtu hasa wa mauwaji kuwa na hatia na akafungwa maana kesi ya mauji sio lelemama inahitaji ushahidi wa mojakwamoja au wakimazingira yaani wakati marehemu anauwawa hawa watuhumiwa wakithibitisha kuwa walikuwa sehemu tofauti na eneo la mauwaji ni vigumu sana kuwatia hatiani

shitaka ingekuwa kula njamana kuua lazima wangekutwa na hatia na kufungwa
 
Back
Top Bottom