Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na hayo yote tunayoyasikia pia nasikia ndiye mmiliki wa A.M Investment. Sijui yana ukweli kiasi gani.Nifahamisheni huyu jamaa ana umaarufu gani hasa? Nimekuwa nikisikia akitajwa sana na vyombo vya habari kuwa amekamatwa, nijuzeni
Pamoja na hayo yote tunayoyasikia pia nasikia ndiye mmiliki wa A.M Investment. Sijui yana ukweli kiasi gani.
Mkuu nado haijathibitishwa bado hivyo bado ni mtuhumiwa tu wa mauaji hayo!ni kweli ni mmiliki wa Alex Massawe Investiments.
Ila amekamatwa kwasababu alimuua mfanyabiashara maarufu hapa Dar akishirikiana na Papaa Msofee
ni handsome kwelikweli'wakibosho bwana!
Nifahamisheni huyu jamaa ana umaarufu gani hasa? Nimekuwa nikisikia akitajwa sana na vyombo vya habari kuwa amekamatwa, nijuzeni
Mkuu nado haijathibitishwa bado hivyo bado ni mtuhumiwa tu wa mauaji hayo!
Alex Massawe ni mmoja wa Wafadhili wanaochangia fedha nyingi CCM. Ajabu ya CCM inawachukia wachagga ila hela zao wanazipenda.Chadema ni ya wachagga au kina Mtei na Mbowe ni wasukuma?
Mkuu nado haijathibitishwa bado hivyo bado ni mtuhumiwa tu wa mauaji hayo!
mkuu usiseme haijathibitishwa manake haya manen ya polis ndiyo ambayo humpamba mkosaji wakati ni gulit. kama hakuua kwann alikuwa natumia pass 3 tofauti?? finger prints zinaonyesha anaitwa alex massawe huku pass zikiwa na majina tofauti na moja ikiwa na jina la alex. akiulizwa anakataa nasema yeye haitwi alex.
wakati kesha muua mume wa mtu mkewe naye wanamnyanyasa kumtoa kwenye nyumba. huyu bwana ni professional criminal yaani nataman hata ingekuwepo sheria ya kunyongwa anyongwe tu lkn utaskia kafungwa miaka 7..
Niliwahi kukutana naye. Kwa muonekano: He's a 'real gentleman' and family man. CCM msimpie madongo. Amekisaidia sana CCM - ni mwanachama wake mtiifu. Amechangia sana kwenye ushindi wa ccm ktk chaguzi hasa hizi mbili zilizopita. Mfano, uchaguzi ulopita alitoa sh. Milioni 800. Ofisini kwake utakuta picha alizopiga na viongozi wa ccm n serikali. Nina uhakika ccm hawatamtupa 'mtu' wao. Kama Zombe 'walimtoa'....
Dah!7, mbona michache?