GE2025 Alex Msama: Mtumishi wa watu mwenye dhamira ya kweli aliyebeba hatima njema ya wananchi wa Ukonga!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
435
Reaction score
733
Jina la Alex Mwita Msama halihitaji utambulisho wa makelele mengi.

Alex Msama ameweka alama na nembo isiyofutika katika jamii ya Watanzania. Ameibua , kukuza na kuendeleza vipaji vya wengi kupitia muziki wa Injili.

Kwa miaka mingi, Alex Msama amekuwa kielelezo na mfano hai katika kumtumikia Mungu kwa kuinua na kusaidia waimbaji wa nyimbo za Injili ndani na nje ya nchi.

Leo, sitaki kugusia sana masuala ya nyimbo za Injili,. Lakini ni vyema kuweka kumbukumbu sawa, kwamba katika huduma ya Neno la Mungu kupitia nyimbo za Injili hapa nchini, 'kapteni' na rubani ni Alex Msama.
Tusisahau; unapotaja majina makubwa katika ulingo wa Nyimbo za Injili, kama Rose Muhando, Bahati Bukuku, Jennifer Mgendi, Christopher Mwahangila na wengine wengi, wameufikisha mbali muziki wao wa Injili kupitia 'sapoti' kubwa kutoka kwa Alex Msama.

Alex Msama ni mtumishi wa Mungu katika Roho na Kweli. Matendo yake kwa jamii ni utambulisho na uthibitisho wa hiki ninachokieleza hapa.

Hakuna Mtanzania mtu mzima, mwenye akili timamu asiyejua na kutambua nguvu na matokeo chanya ya Tamasha la Pasaka.

Kwa miaka mingi, Alex Msama amegusa mioyo ya watu wengi, bila kujali dini, ndani na nje ya nchi, kupitia Tamasha la Pasaka.

Kwa miaka mingi, waimbaji wa nyimbo za Injili, wamekuwa wakijipatia riziki nono kupitia Tamasha la Pasaka, huku waimbaji wakubwa kutoka nje ya nchi, nao wamekuwa wakineemeka kupitia Tamasha la Pasaka! Hakika Alex Msama 'ni mtu na nataka'!

Tamasha la Pasaka, hakika limekuwa daraja na kiunganishi kikubwa kati ya wananchi na viongozi wakubwa, katika ngazi mbalimbali.

Alex Msama, kupitia Tamasha la Pasaka, amewakutanisha wananchi na viongozi kama marais, mawaziri wakuu, mawaziri, mabalozi na wakuu wa nchi mbalimbali kutoka Barani Afrika.

Marais kama Hayati Benjamin William Mkapa, Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mabalozi wengi waandamizi kutoka nje ya nchi, kwa nyakati tofauti wamejumuika na wananchi kupitia Tamasha la Pasaka.

Alex Msama hana maneno mengi. Ni mkimya, mpole asiye na makuu. Ni mtu mwenye hofu kubwa ya Mungu.
Msama akiona mtu yupo katika shida ya uhitaji, moyo wake hububujikwa na machozi ya huruma. Nitaandika mengi kuhusu ALEX MWITA MSAMA.

Tamasha la Pasaka, halipo kwa ajili ya maslahi binafsi ya Alex Msama, bali Tamasha hili limekuwa nuru na faraja kwa Watanzania wengi wenye uhitaji maalum.

Alex Msama, kupitia Tamasha la Pasaka, amekuwa akitoa misaada mbalimbali ya mahitaji muhimu ya kibinadamu, kupitia mapato ya Tamasha la Pasaka.
Alex Msama, bila kuwa na nafasi yoyote ya uongozi seriklini, lakini amekuwa msaada mkubwa kwa jamii ya Watanzania.

Zipo taarifa zisizokuwa na shaka kwamba, asilimia kubwa ya mapato yaliyotokana na Tamasha la Pasaka, Msama amekuwa akijitolea kusaidia jamii ya watu wenye uhitaji. Mfano?; watoto yatima, wazee wasiojiweza na wagonjwa wenye vipato vya chini. Huyu ndiye Alex Msama ninayemfahamu.

Mara kadhaa, nimefanya naye mahojiano juu ya maendeleo na ufanisi wa Tamasha la Pasaka na ukuzaji wa muziki wa Injili.

Msama ni mtu mwenye huruma, hili naweza kulithibitisha mahali popote duniani. Naweza.
Alex Msama anayajua maisha. Anajua shida na changamoto za maisha. Ametoka katika maisha duni, yenye mahangaiko mengi!

Msama anazijua shida nyingi za wananchi, ameziishi kwa vitendo na mateso makubwa!
Msama anapozungumza kutatua shida za wananchi, anamaanisha kutoka moyoni. Haigizi.
Alex Msama hajatoka katika maisha ya mboga saba, hapana. Msama ametoka kwenye maisha ya kula ugali kwa chumvi!

Amelala kwenye ngozi ya Ng'ombe, ameenda shule bila viatu. Msama amesota na maisha, anazijua shida na shurubu za Watanzania wa kipato cha chini!
Palipo na mafanikio au jambo lolote jema, changamoto hazikosi!

Alex Msama amekumbana na maswaibu mengi. Msama amepakwa matope mengi na kila aina ya uchafu!
Alex Msama amekwepa mishale mingi! Amesingiziwa mengi mabaya! Ameitwa kila aina ya majina yasiyofaa, ametukanwa kila aina ya matusi ya kufedhehesha!

Maadui na wafitinishi, wamefanya kila mbinu kwa kuzusha na kusingizia skendo nyingi za hivyo. Lengo ni kumkatisha tamaa na kumvunja moyo Msama. Lakini amekuwa imara na mwenye ngozi ngumu huku akisonga mbele!

Mwaka huu (2025), Alex Msama ametia nia kuwania ubunge katika Jimbo la Ukonga, Ilala Dar es Salaam.
Muda wa kampeni ukifika, nitaandika mengi, lakini kwa hapa itoshe tu kusema, wananchi wa Ukonga watapata mwakilishi wa kweli, kama watafanya uamuzi wa kumpitisha Alex Msama, kuwa Mbunge wao.
Simaanishi kuwa watia nia wengine hawafai, hapana. Nimeandika kuhusu Alex Msama, kadiri ninavyomfahamu, kama Mwandishi wa Habari.

Kwa leo, niishie hapa, kampeni zikianza, nina mengi mazuri ya Alex Msama. NITAANDIKA kwa kirefu. Subiri, Msama ameitendea haki nchi yetu katika kuimarisha na kudumu Umoja, Amani, ushirikiano na Muungano, kwa njia ya kuabudu.
C&P
IMG-20230421-WA0298.jpg
 
Yaani Msama na Jerry ni pipa na mfuniko kwa kifupi itakuwa( Mohamedi kumuita Mo)
Hakuna mwenye nafuu
Hata hivyo Naona jamaa kajipigia promo ya nguvu wanaUkonga kazi kwenu
 
C&PView attachment 3411268
Uwe na huruma basi na watu wa Ukonga. Maana kwa hiyo hulka yako, ukipata tu madaraka yenye ushawishi! utawatapeli mpaka vyombo vyao vya ndani. Achilia mbali nyumba na viwanja vyao.
 
Tulielezwa na Serikali kuwa huyu ni tapeli.
 
Usitudanganye unatafuta kwa ajili ya tumbo lako na familia yako. Huu ni muda muafaka madaraka yawe kwa mzunguko miaka 5 inatosha na wengine tufaidi. Hizo swaga za eti kutuletea maendeleo lipo kwenye mipango ya nchi na sio wewe mbunge wala mwenyekiti wa Kijiji, kitongoji au mtaa.Tuamke watanzania tusidanganywe na kudanganyika
 
We unafkiri tumemsahau mjomba Ako tapeli uyo,
Kama sio huruma ya ccm huyu alitakiwa awe jela sasahivi,
Kwaio unataka tumpe kura ili aiuze ukongo yote au cyo,
Mshauri tu mjomba Ako akaendele kukata viuno na kina rose muando
 
Takataka tupu hakuna Mtu Tapeli na Hatari kama huyu. Tena usituchokoze Watu wa Habari tunayemjua vyema na tukamuanika hapa na mkashangaa kwanini hadi leo hii yuko Uraiani badala ya Gerezani ili akazeekee huko hadi Umauti.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, Mthamaaaaaaaaaaaaa!
 
Ukonga walimkosea nini Mungu? Hawana pa kukimbilia. Alex Msama ni tapeli na dhulumati wa kiwango cha kimataifa. Isingekua ushenzi wa huyu mtu, Rose Muhando ndo angekuwa msanii tajiri zaidi nchini kwa sababu nyimbo zake hadi leo zinapigwa karibu kila sehemu Afrika Mashariki, kusini na kati. ALEX NI MTU MWOVU.
 
Back
Top Bottom