Alex Msama: Wanaomsema Rais Samia wanamsema Mungu, wanaoshutumu wanamshutumu Mungu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Shetani akamwambia Yesu, ukinisujudu nitakupa mamlaka juu ya falme zote hizi, kwa kuwa ni zangu na ninampa ninaemtaka. Sasa Alex Msama tuambie, mamlaka ziko chini ya shetani au Mungu? Usitulishe matango pori hapa. Mungu atawapaje watu mamlaka ili wawatese wanadamu wenzao? Unatuambia Idd Amin alipewa mamlaka na Mungu? Na Bokasa? Na Hitler? Na Makaburu?
 
Shetani akamwambia Yesu, ukinisujudu nitakupa mamlaka juu ya falme zote hizi, kwa kuwa ni zangu na ninampa ninaemtaka. Sasa Alex Msama tuambie, mamlaka ziko chini ya shetani au Mungu?

Nyingi za shetani na ndo maana wanafunga makanisa. Shehe mmoja alishasema nyumba za ibada hazifungwi.
 
Kwa hiyo mungu na Samia wanalindana kwa sababu mmoja kamteua mwingine?
Kama ndiyo hivyo asituombe kura asubiri kuteuliwa na mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…