Alex Msama: Wanaomsema Rais Samia wanamsema Mungu, wanaoshutumu wanamshutumu Mungu

Alex Msama: Wanaomsema Rais Samia wanamsema Mungu, wanaoshutumu wanamshutumu Mungu

 
Hata wewe ambaye unasema Mungu hayupo unatakiwa kuthibitisha.
Kwanza kabisa, tutumie mantiki kufikiri.

Kusema si kila mtu anaamini Mungu yupo si kusema Mungu hayupo.

Kwa hiyo, kwa muktadha wa maneno ya uzi huu, sijasema Mungu hayupo nimesema si kika mtu anaamini Mungu yupo, unaelewa tofauti?

Pili, falsafa ya uthibitisho inamtaka anayesema kitu kipo ndiye awe na mzigo wa kuthibitisha, the burden of proof.

Ndiyo maana Polisi wakija kwako na kusema una madawa ya kulevya, wao waliosema hilo ndio wenye wajibu wa kuthibitisha una madawa ya kulevya, wana wajibu wa kufanya msako na kuyapaya. Wewe huna wajibu wa kuthibitisha kuwa huna madawa ya kukevya na kimantiki huwezi kuthibitisha hili, you cannot prove a negative.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Madamu wameanza kumuhusisha Mungu kwenye uozo wao basi ni suala la muda tu.
 
Kachanganyikiwa Samia hajapigiwa kura, aliyechaguliwa alikuwa anaitwa John Pombe Magufuli.

Huyu anamiliki gari lisilo lake, kisa tu mwenye gari alipofariki naye alikuwa ndani ya gari hivyo kajimilikisha gari la marehemu.
 
Wakuu!

Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa H][/CENTER]
Hapa ndo huaga nawapenda waislamu,huyu alitakiwa kukatwa kichwa Kwa kumkufuru MUNGU
 
Anayefurahia kufananishwa na Mungu, anguko lamjongea kwa kasi ya mwanga.
Angalie usimwangushe mamako.
 
Wakuu!

Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.

Hivi hawa wanatumia bongo zipi kiwazua mambo. 🙌🙌🙌 Mungu aliekataza kuuana, moja ya amri za Mungu ni USIUE, USILITAJE BURE JINA LA MUNGU, USISHUHUDIE UONGO. USIIBE sasa kaka kuna amri ambayo samia haja ivunja mpaka hapa nyoosha mkono..?
NO REFORMS NO ELECTION
 
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama amesema wote wanaomsema vibaya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwani kwa kufanya hivyo wanamsema Mwenyezi Mungu ambaye ndiye aliyempa Mamlaka aliyonayo.

Msama ametumia vifungu vya Bibilia kutoka katika Kitabu cha Warumi 13:3 -1 akinukuu, “Kila mtu atii Mamlaka Kuu, Kwa maana hakuna Mamlaka isiyotoka kwa Mungu” hivyo kuwasihi Wananchi wote kuheshimu Mamlaka ambazo zinawaongoza.

Ameyasema hayo Leo Juni, 8, 2025 Jijini Dar-es-Salaam, wakati Akizungumza na waandishiwa habari, na akifafanua kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameteuliwa na Mungu kwaajili ya kuwatumikia Watanzania.

Aliongeza kuwa, kwa sasa Rais Samia anakaribia kumaliza kipindi chake, akitarajia kuingia kwenye awamu ya pili. hivto ni muhimu kwa wananchi, hususani wale wanaojihusisha na dini, kumheshimu Rais na mamlaka zake.

Chanzo: Torch Media TZ
 
Matapeli mapigaji ndo wakati wao huu wa kumwaga sifa ili yaachwe yaendelee kupiga na kutapeli

Shamba la bibi linapukutishwa msimamizi WA shamba Hana habari anachojali yeye ni kuendelea kua na mamlaka ya kusimamia shamba kwa gharama yoyote
 
Huyu jamaa awe anajitizama kwenye kioo kuhakikisha kama macho yake yanaona kwa wakati.
yeye na jerry manati akili zao zipo sawa
 
Anajibebisha kwa rais Samia ili afutiwe tuhuma zake za utapeli wa ardhi jijini Dar es Salaam. Jerry Slaa alimkalia kooni nusura atoe nnya.


No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
 
Kwani Kuna mtu kamuhasi au wanataka kumtoka kwenye sanduku la kura ,uchaguzi huru na haki, wazee kura ikipandishwa thamani, hakuna mbunge atakae tukana
 

Attachments

  • image-2.jpg
    image-2.jpg
    112.8 KB · Views: 17
Hajui hata waimba tarabu wanaweza kuwa na mamlaka.

historia inasema hata wapumbavu walìwahi kuwa na mamlaka. Na Mungu huyohuyo akawapiga upanga.
Ref. Falao
 
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama amesema wote wanaomsema vibaya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwani kwa kufanya hivyo wanamsema Mwenyezi Mungu ambaye ndiye aliyempa Mamlaka aliyonayo.

Msama ametumia vifungu vya Bibilia kutoka katika Kitabu cha Warumi 13:3 -1 akinukuu, “Kila mtu atii Mamlaka Kuu, Kwa maana hakuna Mamlaka isiyotoka kwa Mungu” hivyo kuwasihi Wananchi wote kuheshimu Mamlaka ambazo zinawaongoza.

Ameyasema hayo Leo Juni, 8, 2025 Jijini Dar-es-Salaam, wakati Akizungumza na waandishiwa habari, na akifafanua kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameteuliwa na Mungu kwaajili ya kuwatumikia Watanzania.

Aliongeza kuwa, kwa sasa Rais Samia anakaribia kumaliza kipindi chake, akitarajia kuingia kwenye awamu ya pili. hivto ni muhimu kwa wananchi, hususani wale wanaojihusisha na dini, kumheshimu Rais na mamlaka zake.

Chanzo: Torch Media TZ
Hata huyu loooh 😂😂😂😂 , na mafile yake yote hale
 
Back
Top Bottom