Alex Msama: Wanaomsema Rais Samia wanamsema Mungu, wanaoshutumu wanamshutumu Mungu

Alex Msama: Wanaomsema Rais Samia wanamsema Mungu, wanaoshutumu wanamshutumu Mungu

Wakuu!

Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.

Wameanza kufuru!! Halafu hii tabia ya kumsingizia MUNGU ambae hashiriki hila za kura acheni mara moja!! MUNGU anapenda haki!!
 
Wakuu!

Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.

Huyu jamaa alivuma enzi hizo na matamasha ya pasaka,baada ya kufichuliwa siri zake na jerry kwamba ni zurumati
nikamweka kwenye kundi la wasanii
NRNE
 
Inavyoonekana mvua imekuwa kubwa mashimo yamejaa maji,panya wote wanaanza kutoka mashimoni.
 
Ukiona mtu anajitokeza kwenye media kama hivyo jua ana kimeo kimekaa shingoni hapo anategemea msaada wa Mungu wake aliemtaja na hizi mambo zinapangwa kabisa na baadhi ya wahuni ili baadae vimemo vyao viende sawa daslm ina wahuni wengi sana.
 
Back
Top Bottom