Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,575
- 2,440
Kwanza kabisa, tutumie mantiki kufikiri.Hata wewe ambaye unasema Mungu hayupo unatakiwa kuthibitisha.
Kesi zake zakutapeli viwanja ziliishaje huyu?Wakuu!
Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.
Watetesi wote wa Samoia lazima waharibuWakuu!
Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.
Hapa ndo huaga nawapenda waislamu,huyu alitakiwa kukatwa kichwa Kwa kumkufuru MUNGUWakuu!
Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa H][/CENTER]
Hivi hawa wanatumia bongo zipi kiwazua mambo. 🙌🙌🙌 Mungu aliekataza kuuana, moja ya amri za Mungu ni USIUE, USILITAJE BURE JINA LA MUNGU, USISHUHUDIE UONGO. USIIBE sasa kaka kuna amri ambayo samia haja ivunja mpaka hapa nyoosha mkono..?Wakuu!
Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.
Hata huyu loooh 😂😂😂😂 , na mafile yake yote haleMkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama amesema wote wanaomsema vibaya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwani kwa kufanya hivyo wanamsema Mwenyezi Mungu ambaye ndiye aliyempa Mamlaka aliyonayo.
Msama ametumia vifungu vya Bibilia kutoka katika Kitabu cha Warumi 13:3 -1 akinukuu, “Kila mtu atii Mamlaka Kuu, Kwa maana hakuna Mamlaka isiyotoka kwa Mungu” hivyo kuwasihi Wananchi wote kuheshimu Mamlaka ambazo zinawaongoza.
Ameyasema hayo Leo Juni, 8, 2025 Jijini Dar-es-Salaam, wakati Akizungumza na waandishiwa habari, na akifafanua kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameteuliwa na Mungu kwaajili ya kuwatumikia Watanzania.
Aliongeza kuwa, kwa sasa Rais Samia anakaribia kumaliza kipindi chake, akitarajia kuingia kwenye awamu ya pili. hivto ni muhimu kwa wananchi, hususani wale wanaojihusisha na dini, kumheshimu Rais na mamlaka zake.
Chanzo: Torch Media TZ