Alex Msama: Wanaomsema Rais Samia wanamsema Mungu, wanaoshutumu wanamshutumu Mungu

Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.
Huyu tapeli na makengeza yake atulie,
Anawezaje kumfananisha Mungu?
Ni hv Mungu ni mtetezi, Si mtesi wala mtekaji!
 
Tapeli wa viwanja vya watu anatafuta huruma! Kila mtu katika nafasi yake owe ndogo au kubwa yuko hapo alipo kwa mΓ penzi ya mungu, kwahiyo tunatakiwa kuheshimika, tutende wema kwa wadogo na wakubwa, lakini ka awatu wanaotekwa ukiongea unakamatwa , nasi hakuna atakaye heshimu wakubwa kwakua wanajihusisha na mambo ya hovyo ,ysiyo mpendeza Mungu
Msama naye anaongea nini? Aliisharudisha maeneo ya watu
 
Wakuu!

Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.

Alex ni mkiristo sishangai kuona mkiristo anasema hivyo sababu washazoea kuita wanadamu wenzao mungu.
kama wanavyomuita yesu mungu

rais sio mungu nimtu kama watu wengine akikosea anakosolewa bila kificho
 
Ni mshenzi huyu ...kama ni mungu ni mungu wake yy na hlo tumbo lake....mpuuz mkubwa...Hakuna kiumbe kinasogelea hata kwa mbali nafasi ya Mungu....
 
Wakuu!

Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.

Hivi kumbe ana KengezaπŸ€”πŸ€”πŸ€”ni sahihi hata aseme hivyo Wala Sina la kumshangaa🀣🀣🀣🀣🀣
 
Huyo Alex Msama ni nani? Kwa vyovyote vile huyo ni mjumbe wa ibilisi, anayemkufuru Mungu.

Mungu hadhihakiwi, hizo dhihaka wanazozifanya, watayapata maajibu yake.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£mamamammae tumefikia huku kulinganisha binadamu mwenzio na mungu aisee uchawa
 
Akiweza kusema yesu badara ya yethu namuondolea haya makengeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…