The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Nusu mtuKwani we mtu au Mnyama?
Wameanza kufuru!! Halafu hii tabia ya kumsingizia MUNGU ambae hashiriki hila za kura acheni mara moja!! MUNGU anapenda haki!!Wakuu!
Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.
Huyu tapeli tu,anamlambalambaKwanza kabisa athibitishe Mungu yupo.
Si kila mtu anaamini Mungu yupo.
Alimtapeli nani huyu ?Naona anajaribu kumlamba miguu namba moja ili zile kesi zake za Utapeli wa Viwanja zisiendelee 🙌
Huyu jamaa alivuma enzi hizo na matamasha ya pasaka,baada ya kufichuliwa siri zake na jerry kwamba ni zurumatiWakuu!
Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.
Huyu tapeli wa viwanja na mijicho yake kama samaki anatafuta pa kufia tu.Wakuu!
Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.
Mungu anamjua kweli !?Wakuu!
Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.
Watatafuta kila aina ya wapuuzi kuja kuwatetea, lakini watafeli! Sio kwa majira haya!Wakuu!