Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chadema hamna jemaHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

ndiye DC na baadaye RC na sasa mbungeNdo alikuwa DC huyu au ni ndugu yake?
Tunaweza kujiuliza ana shughuli gani kwanza inayomuingizia hela?
Hiyo TCC Changombe ilikuwa inauzwa kwa bei gani?
Kwa ile location si chini ya bil 5Ndo alikuwa DC huyu au ni ndugu yake?
Tunaweza kujiuliza ana shughuli gani kwanza inayomuingizia hela?
Hiyo TCC Changombe ilikuwa inauzwa kwa bei gani?
Utusamehe mkuu, tuna wiki fulani hivi Amazing.Chadema hamna jema ma.mae
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
Asante kwa taarifaMnyeti ana undugu na JIWE ,nilikuwa naongea na ndugu yake mmoja anasema jamaa ni bilionea huyo,ana mpunga wa kutisha!! Nadhani Fedha nyingi walizipata kwa uhalifu kwa kivuli cha Udc au URC !! hata Ally happy naye ni fisadi wa kutisha ana nyumba karibia 10 za maana!! Ndio maana tulikuwa tunasema kipindi cha mwendazake hao wateule wake walikuwa wapigaji hatari.
CC: Afande HamduniHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
Utakatishaji wa pesa mkuu hakuna kipindi watu wameiba Kama Cha mwendazake, halafu wale wa ka mfumo walikuwa washangiliaHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
Atakuwa alipiga mawe ya Tanzanite kule mererani ,wakati wakati akiea Mkuu wa mkoa Manyara.Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
Akiwezekeza mswahili kaiba ,ila akiwekeza mhindi na mzungu kimya hata kama huyo mhindi au mzungu ni tapeli, waswahuili bana, kama ameiba amekwibia wewe? yaani kila kiongozi aliyekuwa mwiba kwa wahuni wa SACCOSS mnataka ashitakiwe, hata mwenyekiti wenu achunguzwe kwa kuifanya ruzuku mali yake.Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
Halitabaki jiwe juu ya jiweHuenda naye tukasikia yupo kwenye mikono salama