Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndio hiyoNilikuwa naambiwa Gwambina ni ya wakubwa mno sasa naelewa...
Mkuu si tuambieni tu Mnyeti alikotoa hela , kigugumizi cha niniKuna wakati Riz1 alisingiziwa kila aina ya uzushi na kila dili tuliaminishwa ndio mhusika mkuu, kila jengo tuliambiwa ni mali ya Riz1 ,kila kituo cha mafuta,kila lori na kila aina ya uchafu tuliambiwa ni Riz1,yote hayo kwa sababu baba yake alikuwa raisi, na hata hawa wa sasa wanasingiziwa na kwa maneno mengi kisa tunaambiwa walikuwa karibu na mwendazake, sasa na nyie mlio karibu na mwenyekiti wa SACCOSS tuanze kuwachunguza na kuwasema kuwa matapeli,wakwepa kodi sio?
Tatizo WASHAHILI wengi ni wezi hasa hawa watumishi wa umma. Hata hivyo mtumishi wa umma una pata wapi pesa za kuwekeza ?? Si uache utumishi ufanye mambo yako!!??Akiwezekeza mswahili kaiba ,ila akiwekeza mhindi na mzungu kimya hata kama huyo mhindi au mzungu ni tapeli, waswahuili bana, kama ameiba amekwibia wewe? yaani kila kiongozi aliyekuwa mwiba kwa wahuni wa SACCOSS mnataka ashitakiwe, hata mwenyekiti wenu achunguzwe kwa kuifanya ruzuku mali yake.
Ndio viongozi wa umma wana mentality hii yaani hadi wakuu wa shule za msingi na secondary yaani ni hatari sana.Pesa IPO.
Ukipata nafasi PIGA
Hivi Mkuu wa shule anaweza kuiba nn? Hebu tufungue kidogo sie tusiojua.Viongozi wa UMMA wengi ni wezi wa kutupwa kuanzia ngazi za chini kabisa huku katani na wakuu wa taasisi kama shule na zahanati.
Sijui hii imekujaje kwamba ukiwa kiongozi basi ni kujinufaisha wewe kwanza SIJUI TUMEFIKAJE HAPA.
Huyo ni mwanaume mwenzako kasoro yeye mpambanaji ila wewe mrandukaji[emoji51][emoji51][emoji51]Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
Kupata pesa sio laana kwani mabilionea wengi hupata pesa ktk umri wa miaka 22Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
Una story kama niliyonayo inawezekana ni kweli .Ana vitalu kadhaa vya uchimbaji madini all over ze kuntri, hata vya mwendazake anavishikilia
Kule ambako wewe na mmeo mlishindwa kwenda kutafuta mkabaki mnazurura twittani!alitafutia wapi ?
Alexander Mnyeti ni mpwa/ binamu wa Mwendazake. Na katika uhai wa Magufuli yeye ndiye pekee alikuwa anaweza kufanya chochote na Magufuli asimchukulie hatua.Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania , lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa , anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina , tunampongeza kwa uwekezaji huo , bali swali letu ni hili , AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA ?
List ni ndefu bado watendaji serikaliniSabaya…bilionea
Bashite…bilionea
Mnyeti …bilionea
Hapi…???
…hii ni hatari!
Madc na Marc walifaidi chini ya jiwe!
Mtaka:Milionea
aisee, halafu jitu Kama GENTAMYCINE linakuambia Magufuli alikuwa muadilifu kuliko Samia, kenge Hawa!!Alexander Mnyeti ni mpwa/ binamu wa Mwendazake. Na katika uhai wa Magufuli yeye ndiye pekee alikuwa anaweza kufanya chochote na Magufuli asimchukulie hatua.
Alexander Mnyeti ni mshiriki mkubwa wa uwizi wa Tanzanite pale Mererani kuanzia akiwa DC Arumeru na hatimaye RC Manyara.
Wakati Mwendazake akiwa kwenye kipindi cha sintofahamu yeye na Waziri Dotto Biteko ndiyo walikuwa wanataka kugawana kitalu "C" cha Tanzanite.