kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,072
- 1,545
Hivi kwenye Gari ya waliomtandika risasi lissu walikuwepo Nani na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ukishajua?Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Sikiliza tukwambie huvi sasa kwenye ukoo wao kuna ugomvi mkubwa kugombanua mali,na huo uwanha wa gqambina na hoteli ziko dodoma zinauzwa ili wagawane mali,kwani hujui kuwa ni shemeji ya mwendazake?Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Aliwahi kudai yeye ni mfanya biashara wa siku nyingi huo si uwekezaji pekee ninaosikia huyo bwana anao hapa sehemu mbalimbali nchini nasikia huko katavi ana mall mfano wa mliman city cha kufanya wafuatilie kama kuna shaka kwenye mali zake lakini hatakuwa sahihi kwa vile ni msukuma basi hastahili kuwa na hizo maliHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Yaan nyumba 10 ndio utajiri wa kutisha?.wabongo mnamambo kweli.watu wanamiliki nyumba 100 wewe unasema 10 ndio utajiri wa kutisha.Mnyeti ana undugu na JIWE, nilikuwa naongea na ndugu yake mmoja anasema jamaa ni bilionea huyo, ana mpunga wa kutisha!! Nadhani Fedha nyingi walizipata kwa uhalifu kwa kivuli cha Udc au URC!! Hata Ally happy naye ni fisadi wa kutisha ana nyumba karibia 10 za maana!! Ndio maana tulikuwa tunasema kipindi cha mwendazake hao wateule wake walikuwa wapigaji hatari.
Kwenye maisha kuna ujasiri tu. Kuwa na team yenyewe ni biashara inayoleta pesa kaa kwa utulivu.Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Chadema kimekua gazeti la udaku siku hizi
Wabongo tumejaaliwa wivu na maju.
ngu. Mtu akipata mali kidogo wanataka afilisike awe kama wao. Bongo pagumu aisee
Miaka mingine mitano ya Jiwe haya majambazi yangekuwa matrilionea na tungejuta.
Upumbavu mwingine huuChadema hamna jema
Alexander Mnyeti hayuko mbali na milango ya TAKUKURU au Polisi au Mahakama.Aliwahi kudai yeye ni mfanya biashara wa siku nyingi huo si uwekezaji pekee ninaosikia huyo bwana anao hapa sehemu mbalimbali nchini nasikia huko katavi ana mall mfano wa mliman city cha kufanya wafuatilie kama kuna shaka kwenye mali zake lakini hatakuwa sahihi kwa vile ni msukuma basi hastahili kuwa na hizo mali
Watu wa jamhuri ya twitter tumejaa humuTuripoti hii habari kwa Watu wa Jamuhuri ya Twitter waanze kufuatilia.