Alexander Mnyeti Maji ya Shingo, miradi yake yaanza kufa mmoja baada ya mwingine

Hawezi kuwa na jibu huyo. Matajiri wengi ni wevi wakwepa kodi
Kwanini unadhani siwezi kuwa na jibu ? wabongo wengi bado mnaamini kwenye wizi , ushirikina , kuweka misukule watoto wenu au mama zenu na kutembea na mifupa ya Albino ili mtajirike , bali wako matajiri wa halali nikiwemo mimi
 
Haikuongezei wewe kipato maskini mkubwa
 
Hapo kwenye picha yeye ni yupi maana wengi hatumjui
 
Huwezi kufanikiwa maisha yako binafsi kwa kuwachukia waliofanikiwa kwenye maisha yao binafsi

Hii ndo tunasema uchawi wa bila mizizi
Kuwachukia waliofanikiwa kwa njia za wizi ni kiungo muhimu kwa maskni kufanikiwa. Trust me. Kila maskini anatakiwa kuwa na chuki ya hali ya juu kwa mafisadi ili nchi iendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…