Mnajijutetea baada ya dhalimu kwenda kuzimu?Tafuta ela, Acha makasiriko, Tafuta elaaaaaa
Tembo hata akikonda vipi, hawez kuwa Sawa na sisimizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnajijutetea baada ya dhalimu kwenda kuzimu?Tafuta ela, Acha makasiriko, Tafuta elaaaaaa
Tembo hata akikonda vipi, hawez kuwa Sawa na sisimizi
Hasa kama utajiri wenyewe kaupata kwa kuiba pesq za wananchi maskini lazima tufurahie tena sio kufillisika tu bali afe kabisaMasikini hufurahia kufilisika kwa matajiri!
Hivi unamfaham mleta mada?. Ni kati ya mabilionea bongo. Ni billionaire mstaarab hana ngebe na sifa za kijinga. Kaajiri watu 300 wote na familia na koo zao wanaenda chooni na kubadilisha rangi ya mavi kwa ajili yake.Huwezi kufanikiwa maisha yako binafsi kwa kuwachukia waliofanikiwa kwenye maisha yao binafsi
Hii ndo tunasema uchawi wa bila mizizi
Mnajijutetea baada ya dhalimu kwenda kuzimu?
Achana na hilo chawa. Limezidi fiksi chochote anachokisikia anakileta jamvin. Ndo maana siku hizi profesa mgaya hamtaki kabisa kumtumia kumtangaza JF.Mkuu johnthebaptist ule uzi wako wa nabii Suguye mbona umefutwa na moderators. Kunani? Ulikuwa unatuingiza mjini?
Kamuulize bwana wako huko kuzimu na umsaidie kukusanya kuni mbanikwe pamoja.Baada ya Magufuli kufa Lisu ana hali gani?
Bado ni mke halali wa Amsterdam
Balaza la mawaziri likifumuliwa vizuri huenda Singida Big Stars na namongo fc zikafaHuyu ni miongoni mwa wale waliokuwa wanafaidi matunda ya nchi kwenye utawala wa Awamu ya 5, ni mmoja wa wale viongozi wa ngazi ya chini waliokuwa na Kiburi kilichopitiliza , inadaiwa alikuwa na uhusiano wa Kindugu na John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania .
Mnyeti aliokotwa kutoka kwenye ualimu na kupewa Ukuu wa Wilaya , ghafla akaanza kuwa Tajiri wa kutupwa na dharau na kejeli vikamwingia ( ulevi wa madaraka ) , akapandishwa cheo na kuwa RC , akaanza kumiliki miradi kadhaa ikiwemo timu ya soka inayoitwa Gwambina , akapewa na TCC CLUB na kuiita Gwambina , ili ajenge hostel kwa ajili ya timu yake , akajenga na uwanja wa soka , yaani RC anajenga uwanja wa soka ambao Taasisi nyingi za nchi hii hazina , alikopata hela anajua mwenyewe , japo inadaiwa alikuwa na kolabo na mkubwa kwenye mashimo ya madini (tetesi) , kukawa na mpango wa kupewa Uwaziri , ikabidi kwanza aanzie kwenye ubunge wa Misungwi , wapinzani wakahujumiwa , akapita bila kupingwa .
Waswahili wanasema ukiona ngedere mjini basi ufahamu kwamba kafugwa , mfugaji akifa huyo ngedere atarudi mwituni au atakufa njaa , Sasa kwa kufupisha ni kwamba , Timu ya soka ya Gwambina inayomiliki uwanja wake , ambayo ni Mali ya Mnyeti ,
sasa IMEJIONDOA KWENYE CHAMPIONSHIP kwa kile kinachodaiwa ni kuelemewa na gharama za uendeshaji , Yaani baada ya Magufuli kufa Mnyeti anashindwa kuendesha Timu ! Hivi mnanielewa lakini jamani ?
Neno la leo linatoka kwenye kitabu cha YEREMIA 17 : 5-8
View attachment 2457682
Itaendelea ........
NdiyoUlimuona anaiba? Una ushahidi? Maisha yake unayajua?
Namnukuu;Yeremia 17 : 5-8
Kaka yake mbowe alikufa piaUngeuliza baada ya Magufuli kutaka kumuua Lissu, sasa yuko kwenye hali gani? Mungu hadhihakiwi. Mshenzi alikuwa anajifanya mtu wa Mungu, kila siku analazimisha kupewa nafasi ya kuhubiria madhabahuni, kumbe ni muuaji!
tafuta hela , mnyeti sio wa kufilisika Leo Wala kesho,gwambina wamekataa kucheza home match away wakati wanao uwanja , na umefungiwa Kwa makusudi,usijiingize kwenye vitu usivyovijua , tafuta Hela utapunguza makasiriko Kwa wenye Hela. Lema Godbless alisema masikini hawezi kutajirika Kwa kuchukia matajiri.Huyu ni miongoni mwa wale waliokuwa wanafaidi matunda ya nchi kwenye utawala wa Awamu ya 5, ni mmoja wa wale viongozi wa ngazi ya chini waliokuwa na Kiburi kilichopitiliza , inadaiwa alikuwa na uhusiano wa Kindugu na John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania .
Mnyeti aliokotwa kutoka kwenye ualimu na kupewa Ukuu wa Wilaya , ghafla akaanza kuwa Tajiri wa kutupwa na dharau na kejeli vikamwingia ( ulevi wa madaraka ) , akapandishwa cheo na kuwa RC , akaanza kumiliki miradi kadhaa ikiwemo timu ya soka inayoitwa Gwambina , akapewa na TCC CLUB na kuiita Gwambina , ili ajenge hostel kwa ajili ya timu yake , akajenga na uwanja wa soka , yaani RC anajenga uwanja wa soka ambao Taasisi nyingi za nchi hii hazina , alikopata hela anajua mwenyewe , japo inadaiwa alikuwa na kolabo na mkubwa kwenye mashimo ya madini (tetesi) , kukawa na mpango wa kupewa Uwaziri , ikabidi kwanza aanzie kwenye ubunge wa Misungwi , wapinzani wakahujumiwa , akapita bila kupingwa .
Waswahili wanasema ukiona ngedere mjini basi ufahamu kwamba kafugwa , mfugaji akifa huyo ngedere atarudi mwituni au atakufa njaa , Sasa kwa kufupisha ni kwamba , Timu ya soka ya Gwambina inayomiliki uwanja wake , ambayo ni Mali ya Mnyeti ,
sasa IMEJIONDOA KWENYE CHAMPIONSHIP kwa kile kinachodaiwa ni kuelemewa na gharama za uendeshaji , Yaani baada ya Magufuli kufa Mnyeti anashindwa kuendesha Timu ! Hivi mnanielewa lakini jamani ?
Neno la leo linatoka kwenye kitabu cha YEREMIA 17 : 5-8
View attachment 2457682
Itaendelea ........
Hakuna aliyeishi kwa kumtegemea mtu isipokuwa mifumo ya kazi iliwalazimu kutegemeana.Namnukuu;
".....5 Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA. 6 Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea mema; Bali atakaa jangwani palipo ukame, Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu. 7 Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni tumaini lake. 8 Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa hari ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda...."
YEREMIAH 17:5 - 8
That's means, Mnyeti aliishi kwa kumtegemea mtu na haya yanayomtokea ni matokeo yake maana tegemeo lake (mwanadamu) aitwaye Magufuli hayupo tena..
Si huyu tu. Wako wengi mno. Mfano yupo mwingine maarufu sana wakati ule kwa matendo maovu na ya kikatili tena kijana mdogo sana anaitwa Ole Lengai Sabaya, naye kosa hili la kuishi kwa kumtegemea mtu/mwanadamu kama kiini cha uhai wake kifedha na kimwili linamtafuna kwelikweli...
Na yupo mwingine vilevile maarufu sana nyakati hizo kwa matendo maovu na ya kikatili dhidi ya binadamu wenzake Paul Christian Makonda a.k.a Albert Bashite naye anacheza kwenye moto huu huu kwa kosa la kumtegemea binadamu kama kiini cha uhai wake kifedha na kimwili...
Kwa sasa singida haiwez tetereka bosi si yuko kwenye mfumo
Hata aliyekuwa mfadhili wa chadema mzee ndesamburo alikufa. Na huyu toka afe chadema hawatumii chopa tena maana huyu ndio alikuwa mmiliki na alikuwa anaitoa muda wowote.Kaka yake mbowe alikufa pia
Huu sasa ndiyo unanga wa wana CCM. Huwa wanadhani kila anayemkosoa Magufuli ni ndugu yake Mbowe.Kaka yake mbowe alikufa pia