Alexander Mnyeti Maji ya Shingo, miradi yake yaanza kufa mmoja baada ya mwingine

Masikini hufurahia kufilisika kwa matajiri!
Aisee Mnyeti hakuwa tajiri alikuwa zurumati hata wa roho za watu....yapo mengi yamejificha kwa huyu Bwana! Mungu asiwashe jua kuona vilivojificha juu yake!!
 
Unachuki, maono mafupi, na akili mbovu
 
Mnyeti pia alisimamia ujenzi wa shule kubwa sana ya binafsi ya Mama Janeth Magufuli hapo wilaya ya Misungwi, Mwanza. Mama Janeth na yeye alivuna.

Uhusiano wa JPM na Mnyeti unaotokana na undugu wa Janeth na Mnyeti
 
Pia alihusika sana kumpiga fitna Kitwanga, alimpiga kamati za ufundi mpaka Kitwanga akapigwa stroke.

Kuna interview moja aliifanya Dar24, ameongelea hili jambo
 
Labda lakini mbona tunasikia alikuwa msimamizi tu na alitaka kuzipiga baada ya march ikaleta mgogoro sana mpaka pm akaingilia
 
Huu ni ujinga kumcheka anayepunguza matumizi ilihaweze kufanya mambo yake pasipo pressure,Mo tajiri mkubwa hapa nchini alishawai kununua timu ya mpira sijui ilifia wapi! baada ya mda kaibukia kuwekeza Simba,naona wewe ujui Siasa za mpira wa Tanzania ndio Maana unamcheka Mnyeti.
 
Yaani mtu alikuwa mwalimu. Akateuliwa ndani ya miaka 5 akawa bilionea, ndio matajiri mnaowashangilia nyie wafuasi wa Magufuli?
Ungelikuwa na akili kama sio wivu wa mafanikio ya mwenziwe ungetuambia Mnyeti baada ya kupewa ukuu wa Wilaya/Mkoa alifanya ufisa katika miradi kazaa ya Serikali,hakijipatia pesa kwa njia ya udanganyifu akatajirika,eti kisa alikuwa Mwalimu kuwa Mwalimu imeandikwa uwezi kuwa na bahati ya kupata ela?Samia aliwahi kuwa Sectary au mtunza mafaili, Sasahivi ni Rais, nyerere aliwahi kuwa Mwalimu,achaneni na wivu.
 
Ndio wanyonge mnavyoamini? 😂😂
Hawara yake mmoja alimhonga hoteli ya bilioni 5,
Kwaiyo Wewe kwa akili yako yote Magufuli kwa miaka yote 20 ya ubunge na uwaziri alikuwa mtu wa kukosa billion 5, wakati alikuwa na analipwa mapadiem kibao ya kushinda sait kwenye mabarabara ,ni upuuzi mtupu kudhania Magufuli alikuwa anaweza kukosa billion 5
 
JPM alikuwa mwizi
 
Aisee Mnyeti hakuwa tajiri alikuwa zurumati hata wa roho za watu....yapo mengi yamejificha kwa huyu Bwana! Mungu asiwashe jua kuona vilivojificha juu yake!!
Vimefichika halafu wewe unavijua!
 
Bora mwizi anayewekeza kwa jamii kuliko wezi wanaoficha hata jamii hawaoni kitu..., maiti zinazidiana kunuka ila uvundo wa sasa ni balaa....

Kwa timu kufail / kushindwa ni pigo la soka kwa ujumla..., Poleni mashabiki wa hio timu na wapenzi wa soka kwa ujumla..

Anyway world over timu zote mpira unavyoendeshwa sasa hivi sio sustainable
 
Nimemjibu huyo mnyonge aliyesema Magufuli hakuwa tajiri
 
Mmm,mwenye akili hataona ulicho andika frankly.Inaelekea una chuki binafsi na Magufuli.Ila ni kweli Mnyeti alikuwa na kiburi na dharau.Binafsi nililiona hili live.

Ila na wewe kusema mwenzio "aliokotwa" si busara,na ni dharau pia
 
Mmm,mwenye akili hataona ulicho andika frankly.Inaelekea una chuki binafsi na Magufuli.Ila ni kweli Mnyeti alikuwa na kiburi na dharau.Binafsi nililiona hili live.

Ila na wewe kusema mwenzio "aliokotwa" si busara,na ni dharau pia
Unakubali nini na unakataa nini ?
 
Aliratibu kununua wabunge & madiwani hapa mkoani Arusha . Mwache afutike kama alivyojaribu kuufuta upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…