Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
teh teh..huyu refa atakuwa na kadi ya ccm huyu ana kila dalili ya ufisadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh teh..huyu refa atakuwa na kadi ya ccm huyu ana kila dalili ya ufisadi
Walifungwa na Gabon hapo kwao!!Nasikia hawana utaratibu wa kufungwa nyumbani. Labda watanzania tuwe wa kwanza kuvunja huo mwiko.
Lol Dk ya 70 Algeria 1 Tanzania 1. Tuombe Mungu japo tutoe draw
senator... u have made my day, huku saa hii usiku ndo natoka chadibwa... dronu si ndio droo aisee, umesahahu chandimu?Acid huko ulipo ndo kumekucha nini?! au mtandao nao mashaka!! hapo bolded unamaanisha draw au?
Lukolo hata ibilisi anaweza kukutia nguvu be specific
Kwa kweli golikipa ni mzuri. Ila tu waliomo ndani ya uwanja wanaonekana kuchanganyikiwa. wanapiga tu mipira ilimradi kupiga
haya haya tunaanza ngwe ya pili hapa siju draw halali yetu au twaweza kula zabibu?!
huyu refarii naona ni daffy duck!!hee, hivi humo uwanjani kuna referee au kivuli? yaani mpira umetoka kabisa ukarudishwa uwanjani ukaendea