mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
ee bwana ukuta wa stars kama wa mourinho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu usiseme ni balaa, kama asingekuwa yule refa kuuharibu soka na kuwafanya wanetu wajihami ingekuwa nzuri zaidiee bwana ukuta wa stars kama wa mourinho
Duuh!
gabon waliwafungia algiers kwenye uwanja wa 5 JUILLET.Huu ni uwanja wa Tchaker uko mkoa wa Blida hawajawahi hata kutoa droo.Egypt alipigwa tatu hapa mwaka jana.Walifungwa na Gabon hapo kwao!!
Kingine kisichotajwa ni support ya watanzania hasa wanafunzi wanaosoma algeria.Kiukweli walisaidia sana maana walikuwa pamoja kuanzia airport mpaka hotelini siku ya kwanza mpaka kwenye mazoezi na siku ya mechi ilibidi kujikusanya mataifa yote ya afrika yenye wanafunzi algeria kwenda kwenye mechi maana watanzania walikuwa wachache sana maana ni muda wa likizo.Naposema support ni kuanzia inside infos, kulinda vyumba waarabu wasitie dawa mpaka kutafutiwa bangi (kuna wachezaji hawachezi bila kuvuta na hili mlijue) Tulioko algeria tunajua nini maana ya kutoa droo kwenye huo uwanja wa Tchaker ulioko mkoa wa Blida.Shukrani pia kwa chama cha soka algeria FAF kwa kutoa usafiri wa bure pamoja na escort ya askari kutoka algiers mpaka Blida kwenye mechi na kurudi pamoja na tiketi za bure 200 kwa watanzania(watanzania walikuwa wachache tukaungana na mataifa mengine).Fitna zilikuwa nyingi sana siwezi eleza ila tlifanikiwa kdhibiti wasituhjumu.
Mbona taifa stars walikua wanafungishwa tela sana? Zaidi ya wachezaji wawili walikua wanalabwa chenga na kufunga tela.
mh! Kwa nini ajisach?Jisachi
Hivi MAXIMO alikuwa hamuoni huyu dogo Shaban Kado,nashangaa na hao wabongo walioko kwenye benchi la ufundi walikuwa hawamjui huyo dogo hadi Maximo anamchagua yule kipa ***** anayecheza Msumbiji.
Kwa sasa mpira tuanuweza lakini fitina hatuziwezi