Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.

Itoshe tu kusema haya yote yanathibitisha kazi njema anayofanya Nabii na Mtume Mwamposa.

Yesu ndiye mponyaji!
Haijakishi upo dini gani,binadam wote tunataka majibu ya matatizo yetu,pesa,umaskini,ajira,magonjwa,tu,akipatikana mtu wa kutupa au kutuaminisha jinsi ya kuyatatua,tutamfata.
Babu wa loliondo na kikombe,Maghu na corona,Mwamposa na mafuta na maji!
 
Naam sheikh kasema vyema kabisa,kila msikiti,kanisa yasaidie matatizo ya waumini wao,la sivyo hawa tunaowaona kama wasanii wataendelea kuvuna watu wa kutoka kwingine.
 
Ujue watu wanachanganya sana ukristo ama huislam sio jina,matendo,au mwonekano ndo maana hata manabii hawakujitambulisha kua wao ni wakristo wala muislam bali walifanya yale yote sahihi kuitwa wakristo na muislam sasa sisi kizazi cha shetani tunaojifanya wachamungu kwa mionekano na matendo ndo wapuuzi zaidi maana dini zetu ni IMAANI yani kile unachokiamini na kukifata

Kwaiyo huwezi kumwita mtu mkristo na yupo msikitini na kutenda yale yasifaa kwa dini ya ukristo na huwezi kumwita mtu muislam kwa kufanya na kutenda yale yote yasiofaa kwa waislam ukimwona kanisani huyo sio muislam ni mkristo na ukimwona msikitini uyo sio mkristo bali ni mwisilam japokua unaweza kumkuta mtu ni padri au mkristo katika matendo na kilakitu lakini kiimani sio kabisa maana kunawatu wanatumia miamvuli ya dini kama sehem za biashara zao.

Kwa kumalizia tuu naomba waumini waache kua mashabiki wa watu bali wafate dini zao na zaidi wasome sana dini zao sio jujuu ila soma sana dini yako au dhehebu jua kuanzia historia,sheria,utawala,vyanzo na jua nafasi na maana ya kua kwenye iyo dini au dhehebu,

Waumini wasome na kuelewa sio kusomeshwa kwenye Madhabau na Mimbari, pia wawe wenye imani na mungu wao nasio viongozi wa dini zao maana ata wao ni binadam tu hawanachazaidi wanachojua zaidi ya yale yaliopo kwenye maandishi ya vitabu vya dini na sayansi ya madawa nakujioongeza kwa akili zao binafsi ili kushika akili za watu.

IJUE DINI YAKO KWA UNDANI.
 
Nyumba nilikuwa napanga Happ kimar kibo Ni nyumba ya muislamu kulitokea changamoto wa bint ake kurukwa na akili wakt bint anajianda kwenda ujerumani bas wakapamban...
Wafia dini ya waarabu watakupinga..mwamposa ni habari nyingine kwa hayo mapepo na majini..watu wa pwani wanafunguliwa sana.

Hakika kwa Kristo kila goti litapigwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Naam sheikh kasema vyema kabisa,kila msikiti,kanisa yasaidie matatizo ya waumini wao,la sivyo hawa tunaowaona kama wasanii wataendelea kuvuna watu wa kutoka kwingine.
Acha uhafidhina mbona hizo dini zilivuna waumini wa imani za mababu zetu..wacha waendelee kuvuna tu kama dini zingine hazieleweki zimejaa mafundisho ya uongo chuki na utengano..dunia ya sasa watu sio wajinga wanatambua wapi kuna nguvu ya kweli wapi kuna ujinga.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni kweli hajakosea kuna mwislamu jina ambaye msikiti wala mafunzo hayajui ye amezaliwa tu ktk uislamu

Ukisoma mafunzo (madrasa) huwezi fanya hivyo nakuhakikishia kaulize kote utaambiwa hivi nilivyokwambia

Kwa uislamu kuingia kanisani au kuombewa na mkristo ni kufuru kubwa sana
😀😀😀mnafurahisha sana
 
Vipi yanamletea mabadiliko chanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Alisema kipepeo kilimtoka ukeni nikaona huu sasa ni uchawi nikampotezea sikumuulizq tena..kwamba how kipepeo kitoke huko au mm sina imani. Mm kwakweli acha niamini Mungu anasaidia huko uliko ukisali kwa imani sio lazima kuombewa
 
Mwenyezi Mungu alikuwepo

Jibu ni hivi Qur'an yote ilishuka kipindi cha Muhammad,,,,,ilikuja kuandikwa ili ihifadhiwe Kwa maandishi.

Mwenyezi Mungu alikuwepo kabla ya Ulimwengu,,,,,na kupitia Qur'an kakumbusha tena kuwa "Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu"

Kwahiyo huo ushahidi unatosha ingawa unataka kunitoa kwenye reli,,,, kwangu Mimi maadam Mola wangu kasema hivyo basi inatosha kabisa.

Maswali yangu mbona hujibu mkuu?
Najua huna jibu kwasababu ukristo huwa hauna majibu siku zote,,,,ndio maana wanao jielewa husoma Uislamu na kusilimu.

Nimefurahi kujadiliana na wewe,nakiri Kwa dhati kabisa wewe hii mijadala ya kidini unaiweza kwakuwa hauna jazba na unatumia mantiki zaidi.

Kuna watu humu wamenikoti sitawajibu kama jiwe angavu kwakuwa nawajua huwa ni wapuuzi na hukurupuka Tu Kwa jazba,,,,watu kama hao sitapoteza Mda wangu kudili nao.

Much respect kwako Amanitwin
Kwanini mnatumia nguvu sana,kumbadilisha mkristo,ku prove wrong ukristo.?
 
Kwani humjua familia iliyoanzisha Aglican ? Hujitambui Toka kama unataka elimu nikupe!
Anglican ndo ukristo? Kwani Lutheran alianzisha nani? RC alianzisha nani? Sabato alianzisha nani? Kuna vitu huvijui ila unaforce kuviongea ili kutetea upande wako!! Haya siku njema! Salamaleko
 
Anglican ndo ukristo? Kwani Lutheran alianzisha nani? RC alianzisha nani? Sabato alianzisha nani? Kuna vitu huvijui ila unaforce kuviongea ili kutetea upande wako!! Haya siku njema! Salamaleko
Lutheran ni martin Luther hujui, sabato waitaly, Rc uingereza vitu kama ivyo utajua wapi kichaa wewe!!
 
Lutheran ni martin Luther hujui, sabato waitaly, Rc uingereza vitu kama ivyo utajua wapi kichaa wewe!!
Hata wewe waweza anzisha msikiti wako hakuna shida..ila sidhani kama utamaliza mwaka bila nduguzo kukulipua.

Usilo lijua utengamano huu katika ukristo ndio kasi ya ueneaji wa ukristo duniani..kila entity inayojiengua inakuwa na nguvu sana katika kueneza injili ili kupata washirika.

Hivyo hii hupelekea injili kuenea kwa kasi na wengi kujiunga na ukristo.

Pia kumbuka wote hawa wako chini ya Jina moja lipitalo majina yote Kristo Yesu...awe muuni wa rc..luther..angalcan n.k wote wako chini ya mwamvuli wa Ukristo.

Karibu kesho ukanyage mafuta na kula keki ya upako.

Kila goti narudia tena kila goti litapigwa mbele yake Kristo Yesu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mimi Sina tatizo na uislamu ila waislamu wengi wana unafiki Sana naishi nao muda mwingi sana..

Kuna mtu mmoja akanijibu eti pale kwa mwamposa hakuna muislamu anayeenda hata mmoja wale ni mamluki tu Wala siyo waislamu.Muislamu halali hathubutu kukanyaga kanisani maana ni haram,nikaamua kumpotezea badala ya kubishana

Huyu shehe ndy ameona mbali na ameukubali ukweli kwamba Kuna wamama wengi Sana wa kiislamu wanaenda kwa mwamposa so tyr Kuna tatzo na wao Kama viongozi wa kiislamu na waislamu wote wanapaswa kulitatua..Hizi Mambo za kila linapotokea Jambo wasilolipenda wanasingizia hao siyo' waislamu halitawasaidia hata kidogo'

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kuna tofauti kati ya Muislam na Muumini.

Rudia kusoma tena hapo.
 
Hata wewe waweza anzisha msikiti wako hakuna shida..ila sidhani kama utamaliza mwaka bila nduguzo kukulipua.

Usilo lijua utengamano huu katika ukristo ndio kasi ya ueneaji wa ukristo duniani..kila entity inayojiengua inakuwa na nguvu sana katika kueneza injili ili kupata washirika.

Hivyo hii hupelekea injili kuenea kwa kasi na wengi kujiunga na ukristo.

Pia kumbuka wote hawa wako chini ya Jina moja lipitalo majina yote Kristo Yesu...awe muuni wa rc..luther..angalcan n.k wote wako chini ya mwamvuli wa Ukristo.

Karibu kesho ukanyage mafuta na kula keki ya upako.

Kila goti narudia tena kila goti litapigwa mbele yake Kristo Yesu.

#MaendeleoHayanaChama
Kuna wale yesu ni mungu ,Kuna waabudu masanamu, Kuna nyie mnaabdu bikiri maria, Kuna wenye miungu watatu(mungu mwana ,baba na roho mtakatifu).
Kuna mitume kama mwamposa,gwajima.

Kuna weny shria kali hata kuvaa vimini hawahurusu kanisani hawa wnajielewa ambao ni wasabato.

Kuna nyie wacheza kwaya kutoka mbeya..
Kuna wale ambaohawaoiwala hawaolewi ila wanakulana kimasikhara.

Kuna wale wanaitwa papa Kuna hao wanaoabdu falme za uingereza.
 
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.

Itoshe tu kusema haya yote yanathibitisha kazi njema anayofanya Nabii na Mtume Mwamposa.

Yesu ndiye mponyaji!
Kwamba Sheikh hataki wanawake wa kiislam waponywe!!?? Au wao ndo wanawaroga?
 
Back
Top Bottom