Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Mimi ni Mkatoliki, tena ex seminarian na niliachia ngazi hatua moja kabla sijawa shemasi. Kanisa Katoliki japo bado lina waumini wengi, kiuhalisia limepoteza kabisa mwelekeo. Limetoka kuwa chombo cha ukombozi wa mwanadamu kiroho (human spiritual redemption) na kumgeuza muumini wake kuwa mtaji wa maendeleo ya kanisa. Ukienda kanisani, wimbo, mahubiri, semina na Kila kitu ni MICHANGO tu. Hakuna sehemu au mahali popote ambapo kanisa linashughulika na maendeleo ya kiroho ya muumini wake na ukitaka uimbwe sana kanisani, toa sadaka na michango sana. Lakini ukiomba uchangiwe na kanisa hata ada ya mwanao, kanisa halina kabisa habari nawe. Wakatoki ni mbumbumbu kabisa wa Neno la Mungu Kwa sababu licha ya mapadri wetu kusoma sana, lakini hawatufundishi chochote kanisani zaidi ya kuhimiza tu michango isiyokwisha na isiyo na maelezo timilifu. Hivyo kwenda kwa Mwamposa is inevitable na kwa kuwa viongozi wa kanisa Katoliki, ni waoga sana kupoteza supremacy (Kwa vile wao hawana karama ya kutenda miujiza), basi ni lazima wampinge Mwamposa
Utakuwa mseminari mpumbavu kabisa.
 
Mimi Sina tatizo na uislamu ila waislamu wengi wana unafiki Sana naishi nao muda mwingi sana..

Kuna mtu mmoja akanijibu eti pale kwa mwamposa hakuna muislamu anayeenda hata mmoja wale ni mamluki tu Wala siyo waislamu.Muislamu halali hathubutu kukanyaga kanisani maana ni haram,nikaamua kumpotezea badala ya kubishana

Huyu shehe ndy ameona mbali na ameukubali ukweli kwamba Kuna wamama wengi Sana wa kiislamu wanaenda kwa mwamposa so tyr Kuna tatzo na wao Kama viongozi wa kiislamu na waislamu wote wanapaswa kulitatua..Hizi Mambo za kila linapotokea Jambo wasilolipenda wanasingizia hao siyo' waislamu halitawasaidia hata kidogo'

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ukiwaambia kuna Waislam tunakula nao kitimoto mtaani wanakuambia huyo si Muislam

Lakini haohao wanakuambia yaani Naseeb Abdul (Diamond) kijana wa kiislam kabisa anafanya hivi na vile

Waislam waache UNAFIKI.
 
Nazifahamu familia tatu hapa hapa jirani ni waislam haswaa ila huwa wanaenda huko kwa mwamposa, nilipoongea na mmoja wapo alikubal kuwa yeye anaenda kuweka kambi kabisa pale.

One God , one love
 
Kuna wale yesu ni mungu ,Kuna waabudu masanamu, Kuna nyie mnaabdu bikiri maria, Kuna wenye miungu watatu(mungu mwana ,baba na roho mtakatifu).
Kuna mitume kama mwamposa,gwajima.

Kuna weny shria kali hata kuvaa vimini hawahurusu kanisani hawa wnajielewa ambao ni wasabato.

Kuna nyie wacheza kwaya kutoka mbeya..
Kuna wale ambaohawaoiwala hawaolewi ila wanakulana kimasikhara.

Kuna wale wanaitwa papa Kuna hao wanaoabdu falme za uingereza.
Haijalishi..ila jua jina la kristo na injili ya krisyo Yesu inaenea kwa kasi ulimwenguni.

Hadi nduguzo waarabu wanaogopa hadi kuruhusu makanisa yafunguliwe katika ardhi zao kuogopa kasi ya kuenea kwa ukristo.

Hapa zenji tu wanaujua moto wa injili hadi wanakataza mkristo kununua ardhi wakihofia atafungua kanisa..ili injili iwakomboe waliofungwa na majini na mapepo.

Kila goti litapigwa mbele ya Kristo...na injili itafika kila pembe ya dunia hakun wakuizuia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa vile din yenu inaenda directly proportional na kuenea kwa ushoga maana ndo wanaaminisha watu so hatushangai!

So swala la kushangaa na bible mpya kutoka Italy itakuja soon.
 
Anglican ndo ukristo? Kwani Lutheran alianzisha nani? RC alianzisha nani? Sabato alianzisha nani? Kuna vitu wako!! Haya siku njema! Salam

Nazifahamu familia tatu hapa hapa jirani ni waislam haswaa ila huwa wanaenda huko kwa mwamposa, nilipoongea na mmoja wapo alikubal kuwa yeye anaenda kuweka kambi kabisa pale.

One God , one love
Muislam Safi we wamfahamu vp na sifa zake?
 
Na hamna uponyaji bali
usanii na utapeli
We kama hutaki usiende!! Ila wamama wa kiislamu kibao wanajazana kupokea muijiza!! Wengine wanavaa kininja kabisa na hawakatazwi wala nini!! We angalia shuhuda siku moja,hutamkosa Aisha,Fatuma,Mwanahamis,Chiku,Sakina n.k
Karibu nawewe ukanyage mafuta
 
Anglican ndo ukristo? Kwani Lutheran alianzisha nani? RC alianzisha nani? Sabato alianzisha nani? Kuna vitu huvijui ila unaforce kuviongea ili kutetea upande wako!! Haya siku njema
Wew
We kama hutaki usiende!! Ila wamama wa kiislamu kibao wanajazana kupokea muijiza!! Wengine wanavaa kininja kabisa na hawakatazwi wala nini!! We angalia shuhuda siku moja,hutamkosa Aisha,Fatuma,Mwanahamis,Chiku,Sakina n.k
Karibu nawewe ukanyage mafuta
Hizo ngonjera na sanaa wapekee wenye akili mfano wako,hata maandiko yanaena
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa'

#Akili ndogo huwezi kupoteza Akili kubwa"
 
Wew

Hizo ngonjera na sanaa wapekee wenye akili mfano wako,hata maandiko yanaena
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa'

#Akili ndogo huwezi kupoteza Akili kubwa"
Siku ukimuona alhadi anakanyaga mafuta huku amevaa jinsi na tisheti na kapelo na miwani myeusi hakika nawe utakiri kuwa Yesu ni bwana!! Wameanza wake zenu na dada zenu,bado nyie sasa!! Njooni tu hata kwa kujificha!!
 
Ndio Akili yako ilipoishia hapox😁😁😁
 
Ndio Akili yako ilipoishia hapox😁😁😁
😄😄karibu sana kawe!! Jana usiku kwenye maombi ya komboa familia bi. Khadija bint Othman na mumewe bw. Bilal Mohamed wamekiri kupokea mapacha baada ya maombi na kukanyaga mafuta ya upako! Wamesema walizunguka mnoo mpaka walipokutana na Mungu wa kweli kwenye madhabahu ya mtume na nabii Mwamposa wa Arise and Shine yaani Inuka uangaze! Hakika ni furaha kwenye familia ya bwana Mudi!! Hallelujah
 
Dad huyu alikuwa anasumbuliwa na maumivu katka mgongo a mabegani ndipo nilipo mpak mafuta yako ya upako maumivu Yale yalitoweka hapohapo na sas anaendeleaa vzr

,,,,,,Njoooo mbelee tumbieaa ulikuwa unajisikiaje kabla ya kufika Happ .sasa Asma wangu anatiririkaa
Nani mtenda miujiza
 
Ukitaka nchi iende..piga vita hizi imani za kidini zote...mana zinaua uwezo wa kufikiri.

Tuwe kama china au free world kama usa.

#MaendeleoHayanaChama
Urusi walipiga marufuku dini kuwa ni bangi leo wanapigawa na kombora la Himars la wamarekani ambao pesa yao dollar imeandikwa In God we Trust !!!

Kwenu nyinyi ukoo wenu maskini sababu hamna dini!!! Malofa nyie.
 
Back
Top Bottom