Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Ni kweli wanawake wengi wa kiislmamu wanakwenda kwa mwamposa.
 
Dini imekaa kibaguzi hii sijawahi kuona..ndio mana mnajiripuaga kisa chuki na ubaguzi mliopandikizwa vichwani mwenu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Muislamu jina ndiyo nn kunguru? Acheni kukimbia kivuli, muislamu akienda kanisani anakuwa muislamu jina ila mtu akizaliwa kabla hajabatizwa mnasema anakuwa muislamu lkn hamsemi muislamu jina,mtu akiwa anatimiza nguzo zenu anakuwa muislamu ila siku akijilipua akaua wengine wasio waislamu tena huku anataja jina la Mungu Allah mnamruka mnasema hakuwa muislamu alikuwa muhuni tualiyejifanya muislamu,na Wala hamkemei huko nyumba za ibada..huu uhuni wa kujihesabia haki na kuona upande wenu hayatokei matatizo mtaacha ln?
 
Sio waislamu hao Wana majina ya kiislamu maana hata swala 5 hwazijui!! Tofautisha na mwamposa ni mganga wa kienyeji
 
Watu waelewe kitu kimoja,,,,,Uislamu umesimamia katika kumwabudu Mungu Mmoja WA haki,ambaye Hana mwana wala Baba wala roho mtakatifu,mambo hayo katika Uislamu shirki kubwa Sana na ni dhambi ya Kwanza Kwa Mwenyezi Mungu.

Kwahiyo hakuna Muislamu ambaye analijua hili na kwenda kuombewa Kwa Jina la Yesu...kwani kufanya hivyo ni kumfanya kiumbe cha Mungu kuwa Mungu kitu ambacho si kweli,ni ngumu kusikia lakni ndio ukweli wenyewe.
 
Kwa iyo Hadi wajilipue na wawatombe/ku baka vibinti vya miaka sita na kuwaoa wakiwa na miaka 9 Ndo Waislamu wa kweli?
Sielewi unalet chuki kwangu huwaga sibishani na machoko pita kushoto!
 
Hata shetani utenda miujiza ya uponyaji,
 
Si walisema hakuna nabii kutoka mbeya...naona dawa imeanza kuwaingia..bado wao tu kwenda kukanyaga mafuta mapepo na majini yawatoke.

Hofu yangu wasijiripue tu mana injili haijawahi shindwa na mapepo na majini.

#MaendeleoHayanaChama
Kwan Mwamposa kaandkwa katk ktab gan cha unabii?
 
Hawa jamaa wana ujinga mwingi sana (ashakum si matusi)
 
Aisee! Umenichekesha mpaka machozi yametoka. Niko Arusha km pia upo pia tuonane nikupe zawadi. Watu wanapangia watu matumizi ya hela zao. Ni umaskini tu. Hasa vijitu vya ccm ni maskini Sana wa mali na roho pia!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Jamani ukishakuwa na changamoto ya kiafya ndo utajua,so kwenye tatizo mm sioni sababu ya mtu kutokwenda sehemu ambako anaamini kuwa ndio hatapata suluhisho la tatizo lake pawe Msikitini/Kanisani kwa sababu lengo ni kumuomba MUNGU na yeye kupata UPONYAJI .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…