Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Ni kweli wanawake wengi wa kiislmamu wanakwenda kwa mwamposa.
 
Ni kweli hajakosea kuna mwislamu jina ambaye msikiti wala mafunzo hayajui ye amezaliwa tu ktk uislamu

Ukisoma mafunzo (madrasa) huwezi fanya hivyo nakuhakikishia kaulize kote utaambiwa hivi nilivyokwambia

Kwa uislamu kuingia kanisani au kuombewa na mkristo ni kufuru kubwa sana
Dini imekaa kibaguzi hii sijawahi kuona..ndio mana mnajiripuaga kisa chuki na ubaguzi mliopandikizwa vichwani mwenu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni kweli hajakosea kuna mwislamu jina ambaye msikiti wala mafunzo hayajui ye amezaliwa tu ktk uislamu

Ukisoma mafunzo (madrasa) huwezi fanya hivyo nakuhakikishia kaulize kote utaambiwa hivi nilivyokwambia

Kwa uislamu kuingia kanisani au kuombewa na mkristo ni kufuru kubwa sana
Muislamu jina ndiyo nn kunguru? Acheni kukimbia kivuli, muislamu akienda kanisani anakuwa muislamu jina ila mtu akizaliwa kabla hajabatizwa mnasema anakuwa muislamu lkn hamsemi muislamu jina,mtu akiwa anatimiza nguzo zenu anakuwa muislamu ila siku akijilipua akaua wengine wasio waislamu tena huku anataja jina la Mungu Allah mnamruka mnasema hakuwa muislamu alikuwa muhuni tualiyejifanya muislamu,na Wala hamkemei huko nyumba za ibada..huu uhuni wa kujihesabia haki na kuona upande wenu hayatokei matatizo mtaacha ln?
 
Sio waislamu hao Wana majina ya kiislamu maana hata swala 5 hwazijui!! Tofautisha na mwamposa ni mganga wa kienyeji
 
Watu waelewe kitu kimoja,,,,,Uislamu umesimamia katika kumwabudu Mungu Mmoja WA haki,ambaye Hana mwana wala Baba wala roho mtakatifu,mambo hayo katika Uislamu shirki kubwa Sana na ni dhambi ya Kwanza Kwa Mwenyezi Mungu.

Kwahiyo hakuna Muislamu ambaye analijua hili na kwenda kuombewa Kwa Jina la Yesu...kwani kufanya hivyo ni kumfanya kiumbe cha Mungu kuwa Mungu kitu ambacho si kweli,ni ngumu kusikia lakni ndio ukweli wenyewe.
 
Kwa iyo Hadi wajilipue na wawatombe/ku baka vibinti vya miaka sita na kuwaoa wakiwa na miaka 9 Ndo Waislamu wa kweli?
Sielewi unalet chuki kwangu huwaga sibishani na machoko pita kushoto!
 
Anajua wito wake ndio maana hahangiiki

Kuna wengine hawajui wito wao ndio maana .Yesu aliwatuma wakamhubiri Yesu wao kusimama madhabahuni kuhubiri Mwamposya!!!! Utafikiri Mungu aliwatuma kuwa nendeni mkamhubiri Mwampsya!!

Huyo Mwamposya ndio kiongozi wangu nasali kwake mimi

Ukiona watu wanajaa vile pana kitu wanapokea .Wasomi wamejaa pale wenye hela zao na mali zao Hakuna kanisa inajaa watu wenye magari mengi ya uhakika kama kwa Mwamposya kuonyesha wazi wao sio wajinga

Vilinge vya mashehe vipo Kibao lakini huko hawapati ufumbuzi ndio maana huenda kwa Mwamposya.Kungekuwa na ufumbuzi huko wasingeenda

Hata kwa baadhi ya Wakristo kuna shida mtu anakuwa na Tatizo lake kwenye dini yake alipo hapati ufumbuzi akienda kwa Mwamposya anapata ufumbuzi sio tu anawaambia wengine lakini wanaomjua mtaani kwake wanaona kweli mwenzetu shida yake imeisha.Ndio maana unakuta makundi makubwa anainuka kwenda hayajali cha dini yao wala nini

Tatizo huwa na nguvu kuliko dini lisipopata ufumbuzi

Mwamposya ana ufumbuzi wa matatizo kitiu ambacho baadhi ya viongozi wa dini hawana wanachujua wao kutwa ni kugeuza misikiti au makanisa madarasa tu ya kufundisha Biblia au Kurani na kukusanya sadaka
Hata shetani utenda miujiza ya uponyaji,
 
Si walisema hakuna nabii kutoka mbeya...naona dawa imeanza kuwaingia..bado wao tu kwenda kukanyaga mafuta mapepo na majini yawatoke.

Hofu yangu wasijiripue tu mana injili haijawahi shindwa na mapepo na majini.

#MaendeleoHayanaChama
Kwan Mwamposa kaandkwa katk ktab gan cha unabii?
 
Muislamu jina ndiyo nn kunguru? Acheni kukimbia kivuli, muislamu akienda kanisani anakuwa muislamu jina ila mtu akizaliwa kabla hajabatizwa mnasema anakuwa muislamu lkn hamsemi muislamu jina,mtu akiwa anatimiza nguzo zenu anakuwa muislamu ila siku akijilipua akaua wengine wasio waislamu tena huku anataja jina la Mungu Allah mnamruka mnasema hakuwa muislamu alikuwa muhuni tualiyejifanya muislamu,na Wala hamkemei huko nyumba za ibada..huu uhuni wa kujihesabia haki na kuona upande wenu hayatokei matatizo mtaacha ln?
Hawa jamaa wana ujinga mwingi sana (ashakum si matusi)
 
Mtu anatumia pesa yake aliyoipata kihalali iutamwitaje mjinga? Mtu akipata pesa yake mwingine wanakwenda kuhonga wanawake au wanaume pesa,magari au majumba na wengine wanaenda kulewea pombe,mwingine anaenda kununua gongo,mwingine anaenda kununua bangi ,mwingine anaenda kununua ugoro au sugar,mwingine anaenda kutoa sadaka,mwingine anaenda kumpa pesa nabii ,mwingine anaenda kununua maji ya upako au mafuta ya upako.Kwa nini ukomalie pesa ya mtu aliyoipata kihalali asiitumie atakavyo? Pesa yako wewe nani anaifuatilia kuwa unaitumiaje? Tusipangiane.Tafuta pesa yako na wewe tumia utakavyo koma kufuatilia peas za wengine wakipata wabatumiaje.Hangaika na za kwako lofa wewe.Kwa hiyo kwako mtu akitoa laki kwa umaskini wako unaona hiyo ni pesa nyingi sana?
Nenda ukaombewe umaskini ukutoke wa kuona laki moja ni hela nyingi mtu akitoa.hadi mdomo wako unabaki wazi!!

Una pepo la umaskini
Aisee! Umenichekesha mpaka machozi yametoka. Niko Arusha km pia upo pia tuonane nikupe zawadi. Watu wanapangia watu matumizi ya hela zao. Ni umaskini tu. Hasa vijitu vya ccm ni maskini Sana wa mali na roho pia!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Jamani ukishakuwa na changamoto ya kiafya ndo utajua,so kwenye tatizo mm sioni sababu ya mtu kutokwenda sehemu ambako anaamini kuwa ndio hatapata suluhisho la tatizo lake pawe Msikitini/Kanisani kwa sababu lengo ni kumuomba MUNGU na yeye kupata UPONYAJI .
 
Back
Top Bottom