Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini imekaa kibaguzi hii sijawahi kuona..ndio mana mnajiripuaga kisa chuki na ubaguzi mliopandikizwa vichwani mwenu.Ni kweli hajakosea kuna mwislamu jina ambaye msikiti wala mafunzo hayajui ye amezaliwa tu ktk uislamu
Ukisoma mafunzo (madrasa) huwezi fanya hivyo nakuhakikishia kaulize kote utaambiwa hivi nilivyokwambia
Kwa uislamu kuingia kanisani au kuombewa na mkristo ni kufuru kubwa sana
Muislamu jina ndiyo nn kunguru? Acheni kukimbia kivuli, muislamu akienda kanisani anakuwa muislamu jina ila mtu akizaliwa kabla hajabatizwa mnasema anakuwa muislamu lkn hamsemi muislamu jina,mtu akiwa anatimiza nguzo zenu anakuwa muislamu ila siku akijilipua akaua wengine wasio waislamu tena huku anataja jina la Mungu Allah mnamruka mnasema hakuwa muislamu alikuwa muhuni tualiyejifanya muislamu,na Wala hamkemei huko nyumba za ibada..huu uhuni wa kujihesabia haki na kuona upande wenu hayatokei matatizo mtaacha ln?Ni kweli hajakosea kuna mwislamu jina ambaye msikiti wala mafunzo hayajui ye amezaliwa tu ktk uislamu
Ukisoma mafunzo (madrasa) huwezi fanya hivyo nakuhakikishia kaulize kote utaambiwa hivi nilivyokwambia
Kwa uislamu kuingia kanisani au kuombewa na mkristo ni kufuru kubwa sana
Kwa iyo Hadi wajilipue na wawatombe/ku baka vibinti vya miaka sita na kuwaoa wakiwa na miaka 9 Ndo Waislamu wa kweli?Sio waislamu hao Wana majina ya kiislamu maana hata swala 5 hwazijui!! Tofautisha na mwamposa ni mganga wa kienyeji
Sielewi unalet chuki kwangu huwaga sibishani na machoko pita kushoto!Kwa iyo Hadi wajilipue na wawatombe/ku baka vibinti vya miaka sita na kuwaoa wakiwa na miaka 9 Ndo Waislamu wa kweli?
Tayari nimeshakuwini kisaikolojiaSielewi unalet chuki kwangu huwaga sibishani na machoko pita kushoto!
Imani ni ushindaniHuyu mwamposa ana nguvu kiasi gani? RC walianza kulia nae, leo hii na huyu mchumia tumbo wa ccm nae analia
Ana uhakika na nguvu iliyomuinuaKinachonishangaza kuhusu huyu Bw. Mwamposa huwa hajibu, hajitetei, hafanunui wala hagombani na mtu.
Sawa tajiri!!!mdomo wako unabaki wazi!!
Una pepo la umaskini
Hata shetani utenda miujiza ya uponyaji,Anajua wito wake ndio maana hahangiiki
Kuna wengine hawajui wito wao ndio maana .Yesu aliwatuma wakamhubiri Yesu wao kusimama madhabahuni kuhubiri Mwamposya!!!! Utafikiri Mungu aliwatuma kuwa nendeni mkamhubiri Mwampsya!!
Huyo Mwamposya ndio kiongozi wangu nasali kwake mimi
Ukiona watu wanajaa vile pana kitu wanapokea .Wasomi wamejaa pale wenye hela zao na mali zao Hakuna kanisa inajaa watu wenye magari mengi ya uhakika kama kwa Mwamposya kuonyesha wazi wao sio wajinga
Vilinge vya mashehe vipo Kibao lakini huko hawapati ufumbuzi ndio maana huenda kwa Mwamposya.Kungekuwa na ufumbuzi huko wasingeenda
Hata kwa baadhi ya Wakristo kuna shida mtu anakuwa na Tatizo lake kwenye dini yake alipo hapati ufumbuzi akienda kwa Mwamposya anapata ufumbuzi sio tu anawaambia wengine lakini wanaomjua mtaani kwake wanaona kweli mwenzetu shida yake imeisha.Ndio maana unakuta makundi makubwa anainuka kwenda hayajali cha dini yao wala nini
Tatizo huwa na nguvu kuliko dini lisipopata ufumbuzi
Mwamposya ana ufumbuzi wa matatizo kitiu ambacho baadhi ya viongozi wa dini hawana wanachujua wao kutwa ni kugeuza misikiti au makanisa madarasa tu ya kufundisha Biblia au Kurani na kukusanya sadaka
😂😂😂Nimeambiwa Nina dhihaka nikianza mtamslimu ukoo mzimaTayari nimeshakuwini kisaikolojia
Kwan Mwamposa kaandkwa katk ktab gan cha unabii?Si walisema hakuna nabii kutoka mbeya...naona dawa imeanza kuwaingia..bado wao tu kwenda kukanyaga mafuta mapepo na majini yawatoke.
Hofu yangu wasijiripue tu mana injili haijawahi shindwa na mapepo na majini.
#MaendeleoHayanaChama
Dada i think you get me wrong! nilikuwa namweleza huyo anaesema uislam una shidaNinyi si ndiyo mnajiita “SISI NI WAMOJA KTK IMANI”?
Unamtoaje sheikh Alhdi Mussa ktk hili?
Hawa jamaa wana ujinga mwingi sana (ashakum si matusi)Muislamu jina ndiyo nn kunguru? Acheni kukimbia kivuli, muislamu akienda kanisani anakuwa muislamu jina ila mtu akizaliwa kabla hajabatizwa mnasema anakuwa muislamu lkn hamsemi muislamu jina,mtu akiwa anatimiza nguzo zenu anakuwa muislamu ila siku akijilipua akaua wengine wasio waislamu tena huku anataja jina la Mungu Allah mnamruka mnasema hakuwa muislamu alikuwa muhuni tualiyejifanya muislamu,na Wala hamkemei huko nyumba za ibada..huu uhuni wa kujihesabia haki na kuona upande wenu hayatokei matatizo mtaacha ln?
Aisee! Umenichekesha mpaka machozi yametoka. Niko Arusha km pia upo pia tuonane nikupe zawadi. Watu wanapangia watu matumizi ya hela zao. Ni umaskini tu. Hasa vijitu vya ccm ni maskini Sana wa mali na roho pia!Mtu anatumia pesa yake aliyoipata kihalali iutamwitaje mjinga? Mtu akipata pesa yake mwingine wanakwenda kuhonga wanawake au wanaume pesa,magari au majumba na wengine wanaenda kulewea pombe,mwingine anaenda kununua gongo,mwingine anaenda kununua bangi ,mwingine anaenda kununua ugoro au sugar,mwingine anaenda kutoa sadaka,mwingine anaenda kumpa pesa nabii ,mwingine anaenda kununua maji ya upako au mafuta ya upako.Kwa nini ukomalie pesa ya mtu aliyoipata kihalali asiitumie atakavyo? Pesa yako wewe nani anaifuatilia kuwa unaitumiaje? Tusipangiane.Tafuta pesa yako na wewe tumia utakavyo koma kufuatilia peas za wengine wakipata wabatumiaje.Hangaika na za kwako lofa wewe.Kwa hiyo kwako mtu akitoa laki kwa umaskini wako unaona hiyo ni pesa nyingi sana?
Nenda ukaombewe umaskini ukutoke wa kuona laki moja ni hela nyingi mtu akitoa.hadi mdomo wako unabaki wazi!!
Una pepo la umaskini