Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Sio waislamu hao Wana majina ya kiislamu maana hata swala 5 hwazijui!! Tofautisha na mwamposa ni mganga wa kienyeji
Mganga wa kienyeji anayewashinda mashehe na maimamu wa kiislamu kutatua shida za wanawake wa kiislamu

Si heri huyo uwezo anao kuliko.mashehe na maimamu

Hao wasio na uwezo ndio waganga wa kienyeji wababaishaji tu kazi kutiririka aya tu ufumbuzi wa shida za hao wanawake wa kiislamu hawana.Wao kazi kutiritika aya tu walizokariri madarasa kwa.kulazimishwa kwa viboko kukariri

Mkristo hachapwi viboko kuelewa Biblia.

Matokeo ya kukaririsha watu kuruani na viboko ndio hayo wanazalisha mashehe na maimamu wasio na ufumbuzi wa shida za waislamu zaidi ya kuwatiririkia aya za kuruani walizokariri kwa viboko
 
Hot tea with cannabis leaves [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa mnasumbuka Nini? Qur'an 5:52-52,"Enyi mlioamini msiwafanye mayahudi na wakristo kuwa marafiki wenu....." Lakini mnaenda kutafuta miujiza kwa Mwamposa.
 
Hao sio waislamu ... warejee maandiko yanavyoamrisha ... sitaki kufunguka sana maana nitaitwa wahabi
 
Hapana mbona matatizo yapo mengi tu kwa waumini wetu mfano hao magaidi pia ni waislamu jina hakuna Mungu anaruhusu kutoa uhai wa mtu tena bila huruma wanaua wanawake na watoto

Ndio hakuna muislamu anaenda kuombewa kwa mkiristo kwenye mafunzo tunaambiwa ni makosa hapo ume ritadi tunaambiwa tusijichanganye na wakiristo sema vitu vingine kwa utandawazi huu na ukuaji wa teknolojia tunategemeana so ni irrelevant kuvifata Mfano lazima tuchangamane mfano hospitalini ,masokoni nk ila kiuhalisia hairuhusiwi


Narudia hao ni waislamu majina wamezaliwa wamekuta wazazi ni waislamu hata mlango wa msikiti hawajui
 
wacha Mwamposa atajirike , wajinga wapogo
Usiwahadae wenzako..swala la msingi Je wanapata haja za mioyo yao..???je kama wao wanaridhika na maendeleo yao..??je wanaona mabadiliko katika maisha yao?.je wanapewa tunguli au hirizi kujitibu???...hayo ndio ya msingi..na wacheni kila mtu aishi anavyotaka huru..uzuri katiba ya JMT imeruhusu Uhuru wa kila mtu kuamini kokote anapoona panamfaa kwa Imani yake
 
Mapepo na mashetani yamehamia na kuwa na ushirika na manabii. Yanaigiza kulia huku yenyewe yakijua kwa undani tabia za hovyo za hao wanaojiita manabii
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kazi mnayo wafuasi
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…