Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Sio waislamu hao Wana majina ya kiislamu maana hata swala 5 hwazijui!! Tofautisha na mwamposa ni mganga wa kienyeji
Mganga wa kienyeji anayewashinda mashehe na maimamu wa kiislamu kutatua shida za wanawake wa kiislamu

Si heri huyo uwezo anao kuliko.mashehe na maimamu

Hao wasio na uwezo ndio waganga wa kienyeji wababaishaji tu kazi kutiririka aya tu ufumbuzi wa shida za hao wanawake wa kiislamu hawana.Wao kazi kutiritika aya tu walizokariri madarasa kwa.kulazimishwa kwa viboko kukariri

Mkristo hachapwi viboko kuelewa Biblia.

Matokeo ya kukaririsha watu kuruani na viboko ndio hayo wanazalisha mashehe na maimamu wasio na ufumbuzi wa shida za waislamu zaidi ya kuwatiririkia aya za kuruani walizokariri kwa viboko
 
Kuna demu wangu anaitwa Asma Ni muislamu yule orginal haswa siku moja nimeenda kwake nikawa namfanyia massage ya mgongoni wkt naendelea nikaona kama mafuta yanaisha nikajiongeza kucheki ktk draw yake bwanaa eeh nikakutatana na vichupa viwili vile vya mwamposa kahifadhi kwenye draw Yake nilihis ni Siri anafanya kwani alivyoniona natafuta mafuta aksema usifungue draw yangu toka njje kanunue mafuta ya naz nikatoka huku nacheka kimoyomoy kuwa hata hyu ustadh dhat nae anatumia mafuta ya mwamposa ..nilifurahi Sana nikasema apostle Kuna miujiza imetokeaa
Baada ya kumaliza massage najuwa mnajuwa kilichoendeleaa ,,,,,,[emoji39]


Basi baadae Asma wanting alienda kutoa ushuhuda
Hot tea with cannabis leaves [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu waelewe kitu kimoja,,,,,Uislamu umesimamia katika kumwabudu Mungu Mmoja WA haki,ambaye Hana mwana wala Baba wala roho mtakatifu,mambo hayo katika Uislamu shirki kubwa Sana na ni dhambi ya Kwanza Kwa Mwenyezi Mungu.

Kwahiyo hakuna Muislamu ambaye analijua hili na kwenda kuombewa Kwa Jina la Yesu...kwani kufanya hivyo ni kumfanya kiumbe cha Mungu kuwa Mungu kitu ambacho si kweli,ni ngumu kusikia lakni ndio ukweli wenyewe.
Sasa mnasumbuka Nini? Qur'an 5:52-52,"Enyi mlioamini msiwafanye mayahudi na wakristo kuwa marafiki wenu....." Lakini mnaenda kutafuta miujiza kwa Mwamposa.
 
Mimi Sina tatizo na uislamu ila waislamu wengi wana unafiki Sana naishi nao muda mwingi sana..

Kuna mtu mmoja akanijibu eti pale kwa mwamposa hakuna muislamu anayeenda hata mmoja wale ni mamluki tu Wala siyo waislamu.Muislamu halali hathubutu kukanyaga kanisani maana ni haram,nikaamua kumpotezea badala ya kubishana

Huyu shehe ndy ameona mbali na ameukubali ukweli kwamba Kuna wamama wengi Sana wa kiislamu wanaenda kwa mwamposa so tyr Kuna tatzo na wao Kama viongozi wa kiislamu na waislamu wote wanapaswa kulitatua..Hizi Mambo za kila linapotokea Jambo wasilolipenda wanasingizia hao siyo' waislamu halitawasaidia hata kidogo'

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hao sio waislamu ... warejee maandiko yanavyoamrisha ... sitaki kufunguka sana maana nitaitwa wahabi
 
Muislamu jina ndiyo nn kunguru? Acheni kukimbia kivuli, muislamu akienda kanisani anakuwa muislamu jina ila mtu akizaliwa kabla hajabatizwa mnasema anakuwa muislamu lkn hamsemi muislamu jina,mtu akiwa anatimiza nguzo zenu anakuwa muislamu ila siku akijilipua akaua wengine wasio waislamu tena huku anataja jina la Mungu Allah mnamruka mnasema hakuwa muislamu alikuwa muhuni tualiyejifanya muislamu,na Wala hamkemei huko nyumba za ibada..huu uhuni wa kujihesabia haki na kuona upande wenu hayatokei matatizo mtaacha ln?
Hapana mbona matatizo yapo mengi tu kwa waumini wetu mfano hao magaidi pia ni waislamu jina hakuna Mungu anaruhusu kutoa uhai wa mtu tena bila huruma wanaua wanawake na watoto

Ndio hakuna muislamu anaenda kuombewa kwa mkiristo kwenye mafunzo tunaambiwa ni makosa hapo ume ritadi tunaambiwa tusijichanganye na wakiristo sema vitu vingine kwa utandawazi huu na ukuaji wa teknolojia tunategemeana so ni irrelevant kuvifata Mfano lazima tuchangamane mfano hospitalini ,masokoni nk ila kiuhalisia hairuhusiwi


Narudia hao ni waislamu majina wamezaliwa wamekuta wazazi ni waislamu hata mlango wa msikiti hawajui
 
wacha Mwamposa atajirike , wajinga wapogo
Usiwahadae wenzako..swala la msingi Je wanapata haja za mioyo yao..???je kama wao wanaridhika na maendeleo yao..??je wanaona mabadiliko katika maisha yao?.je wanapewa tunguli au hirizi kujitibu???...hayo ndio ya msingi..na wacheni kila mtu aishi anavyotaka huru..uzuri katiba ya JMT imeruhusu Uhuru wa kila mtu kuamini kokote anapoona panamfaa kwa Imani yake
 
Mapepo na mashetani yamehamia na kuwa na ushirika na manabii. Yanaigiza kulia huku yenyewe yakijua kwa undani tabia za hovyo za hao wanaojiita manabii
 
Ni kweli hajakosea kuna mwislamu jina ambaye msikiti wala mafunzo hayajui ye amezaliwa tu ktk uislamu

Ukisoma mafunzo (madrasa) huwezi fanya hivyo nakuhakikishia kaulize kote utaambiwa hivi nilivyokwambia

Kwa uislamu kuingia kanisani au kuombewa na mkristo ni kufuru kubwa sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kazi mnayo wafuasi
 
Hapana mbona matatizo yapo mengi tu kwa waumini wetu mfano hao magaidi pia ni waislamu jina hakuna Mungu anaruhusu kutoa uhai wa mtu tena bila huruma wanaua wanawake na watoto

Ndio hakuna muislamu anaenda kuombewa kwa mkiristo kwenye mafunzo tunaambiwa ni makosa hapo ume ritadi tunaambiwa tusijichanganye na wakiristo sema vitu vingine kwa utandawazi huu na ukuaji wa teknolojia tunategemeana so ni irrelevant kuvifata Mfano lazima tuchangamane mfano hospitalini ,masokoni nk ila kiuhalisia hairuhusiwi


Narudia hao ni waislamu majina wamezaliwa wamekuta wazazi ni waislamu hata mlango wa msikiti hawajui
Sawa
 
Back
Top Bottom