YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mganga wa kienyeji anayewashinda mashehe na maimamu wa kiislamu kutatua shida za wanawake wa kiislamuSio waislamu hao Wana majina ya kiislamu maana hata swala 5 hwazijui!! Tofautisha na mwamposa ni mganga wa kienyeji
Si heri huyo uwezo anao kuliko.mashehe na maimamu
Hao wasio na uwezo ndio waganga wa kienyeji wababaishaji tu kazi kutiririka aya tu ufumbuzi wa shida za hao wanawake wa kiislamu hawana.Wao kazi kutiritika aya tu walizokariri madarasa kwa.kulazimishwa kwa viboko kukariri
Mkristo hachapwi viboko kuelewa Biblia.
Matokeo ya kukaririsha watu kuruani na viboko ndio hayo wanazalisha mashehe na maimamu wasio na ufumbuzi wa shida za waislamu zaidi ya kuwatiririkia aya za kuruani walizokariri kwa viboko