Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Huenda unatatizo la uelewa mkuu.....Uislamu sio Muhammad na haujaketwa na MuhammadUislam sio dini kongwe,hauna hata miaka 1500 toka uanze. Uislam umeanza miaka 600 baada ya Ukristo..
Najua utabisha halafu utakuja na zile hadithi za sijui Adam alikuwa mwislam na blah blah zingine mnazokaririshana msikitini.
Uislam SIO Dini kongwe, ni dini ikiyokuja karne ya 6/7 juzi hapo. That's a FACT ambayo ukitumia kichwa chako (bila kushikwa akili) utakubaliana nami.
Nimekuuliza hiviiiiii:Sisi tunawapenda hatutaki muende Motoni,,,,,yeyote atakaye mshirikisha Mwenyezi Mungu mwisho mwisho wake ni kuchomwa Moto.
Mwenyezi Mungu anamsifia Ibrahim Baba wa Imani.
"Hakika Ibrahim alikuwa mfano mwema, mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina."
Surah An nahal -120
Mimi naelewa sana hizo theory za sijui uislam ulikuwepo tola Adam na blah blah kama hizo ambazo HUWEZI KUZIPROVE POPOTE.Huenda unatatizo la uelewa mkuu.....Uislamu sio Muhammad na haujaketwa na Muhammad
Uislamu ni kunyenyekea Kwa Mwenyezi Mungu Mmoja Tu,,,,huo ndio Uislamu,,,,,je Ibrahim alikuwa anamwabudu Nani? Nuhu alikuwa anamwabudu Nani?
Tatizo lako kinachokujia akilini mwako unapozungumzia Uislamu ni kanza na kofia ndio maana inakuwa ngumu Jambo hili kuingia akilini,,,,,, Muhammad alikuja kuukamilisha Kwa kuingezewa Sheria mbali mbali,,,,mfano huko nyuma watu walikuwa wanaswali mar mbili Kwa siku,lkn baada ya kuja Muhammad ikaja Sheria ya kuswali swala tano na kadhalika,,,,,any way tuliache hili kama lilivyo,,,,hatapatikana mshindi hapa na Nia si kutafuta mshindiMimi naelewa sana hizo theory za sijui uislam ulikuwepo tola Adam na blah blah kama hizo ambazo HUWEZI KUZIPROVE POPOTE.
Sikia:
Uislam umeletwa na Muhammad. Kabla ya Muhammad Hakukuwahi kuwepo na Uislam popote pale.
Na hata nikikuambia uni-provie kuwa uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad najua Hutaweza.
Hatuji prove Bali tunaweka rekodi Sawa kupitia Qur'an,,,,,unajua Qur'an imekuja kusahihisha makosa ambayo yaliingizwa ktika vitabu vilivyopita na kuweka Imani juu ya Mungu iwe sahihi,,,,,mfano soma biblia utaona Yesu anasema juu ya kumwamini Mungu Mmoja lkn nyinyi katika mafundisho yenu mnafanya Yesu kuwa Mungu,,,,hapo Qur'an inaingia na kuweka mambo Sawa...Nimekuuliza hiviiiiii:
Mbona sijawahi kuwasikia Wakristo wakijaribu kujiprove kwa kutumia Quran?
Kwa nini ni nyie mnaojaribu kujiprove kwa kutumia Bible?
Tatizo lako kinachokujia akilini mwako unapozungumzia Uislamu ni kanza na kofia ndio maana inakuwa ngumu Jambo hili kuingia akilini,,,,,, Muhammad alikuja kuukamilisha Kwa kuingezewa Sheria mbali mbali,,,,mfano huko nyuma watu walikuwa wanaswali mar mbili Kwa siku,lkn baada ya kuja Muhammad ikaja Sheria ya kuswali swala tano na kadhalika,,,,,any way tuliache hili kama lilivyo,,,,hatapatikana mshindi hapa na Nia si kutafuta mshindi
wacha Mwamposa atajirike , wajinga wapogo
Kinachonishangaza kuhusu huyu Bw. Mwamposa huwa hajibu, hajitetei, hafanunui wala hagombani na mtu.
Ukatoriki!!! Huko shule mlienda kusomea ujinga?koma kuingiza ukatoriki kwenye upuuzi wenu
Ile ya iringa alijibu mkuuKinachonishangaza kuhusu huyu Bw. Mwamposa huwa hajibu, hajitetei, hafanunui wala hagombani na mtu.
Umeanimbia nilete evidence yoyote Ile,,,,nakuletea kutoka ktk Qur'anKanzu na kofia sio mavazi ya Kiislam ila ni mavazi ya utamaduni ya watu wa Mashariki ya Kati.
Turudi kwenye mada sasa.
Hebu Nipe Uthibitisho kuwa kabla ya Muhammad kulikuwa na Uislam.
Let evidence yoyote ile unayoijua inayoweza kuthibitisha kuwa kabla ya Muhammad Uislam uliexist.
Nasubiri hapa.
Baki kwenye mada ya "Uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad". Usirukeruke kama kwenye muhadhara. Tulia hapa halafu tutaenda huko kwenye ishu hizo ulizouliza.Umeanimbia nilete evidence yoyote Ile,,,,nakuletea kutoka ktk Qur'an
"Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu."
Surah Imran- 19
Naomba na wewe Tu unionyeshe katika biblia mstari unao sema kuwa ukristo ni Dini.
Halafu nakumbusha usisahau kuniletea mstari ktk biblia kuwa Yesu alisema mumuabudu na kuwa yeye ni Mungu,,,,narudia tena ukileta utanibaatiza na nitakuwa mkristo.
Nasubiria mkuu!
Usipopata tatizo neno kufuru rahisi sana kukutoka.Ni kweli hajakosea kuna mwislamu jina ambaye msikiti wala mafunzo hayajui ye amezaliwa tu ktk uislamu
Ukisoma mafunzo (madrasa) huwezi fanya hivyo nakuhakikishia kaulize kote utaambiwa hivi nilivyokwambia
Kwa uislamu kuingia kanisani au kuombewa na mkristo ni kufuru kubwa sana
Vipi yanamletea mabadiliko chanya?Shoga yangu muislam kila mara hakosi kwenda kw mwamposa humwambii kuhusu maji ya mwamposa.
Kijichi kuna mtoto wa sheikh baada kuona majini yamemuandama wakampeleka kwa mtumishi akaombewa akapona kaukataa uislamu na kaolewa na mkristo,mimi ni shuhuda wa hili.Shida haina baunsa. Ukiwa na shida sanasana changamoto za ugonjwa mkubwa huchagui unatibiwa wapi. Iwe kwenye tunguri sawa, iwe msikitini sawa iwe kanisani sawa. Wapo wanaofanya kwa siri ni wanafiki wengi sana lakini wapo wanaokuwa wazi na Mungu anawasamehe
Kama hujui kitu kaa kimya!!kwani si ipo wazi nini kilitokea IRINGA, kwa waumini wa katoriki waliohudhuria mkutano wa Mwamposa?koma kuingiza ukatoriki kwenye upuuzi wenu
DuhMimi Sina tatizo na uislamu ila waislamu wengi wana unafiki Sana naishi nao muda mwingi sana..
Kuna mtu mmoja akanijibu eti pale kwa mwamposa hakuna muislamu anayeenda hata mmoja wale ni mamluki tu Wala siyo waislamu.Muislamu halali hathubutu kukanyaga kanisani maana ni haram,nikaamua kumpotezea badala ya kubishana
Huyu shehe ndy ameona mbali na ameukubali ukweli kwamba Kuna wamama wengi Sana wa kiislamu wanaenda kwa mwamposa so tyr Kuna tatzo na wao Kama viongozi wa kiislamu na waislamu wote wanapaswa kulitatua..Hizi Mambo za kila linapotokea Jambo wasilolipenda wanasingizia hao siyo' waislamu halitawasaidia hata kidogo'
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app