Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Huenda unatatizo la uelewa mkuu.....Uislamu sio Muhammad na haujaketwa na MuhammadUislam sio dini kongwe,hauna hata miaka 1500 toka uanze. Uislam umeanza miaka 600 baada ya Ukristo..
Najua utabisha halafu utakuja na zile hadithi za sijui Adam alikuwa mwislam na blah blah zingine mnazokaririshana msikitini.
Uislam SIO Dini kongwe, ni dini ikiyokuja karne ya 6/7 juzi hapo. That's a FACT ambayo ukitumia kichwa chako (bila kushikwa akili) utakubaliana nami.
Uislamu ni kunyenyekea Kwa Mwenyezi Mungu Mmoja Tu,,,,huo ndio Uislamu,,,,,je Ibrahim alikuwa anamwabudu Nani? Nuhu alikuwa anamwabudu Nani?