Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Uislam sio dini kongwe,hauna hata miaka 1500 toka uanze. Uislam umeanza miaka 600 baada ya Ukristo..

Najua utabisha halafu utakuja na zile hadithi za sijui Adam alikuwa mwislam na blah blah zingine mnazokaririshana msikitini.

Uislam SIO Dini kongwe, ni dini ikiyokuja karne ya 6/7 juzi hapo. That's a FACT ambayo ukitumia kichwa chako (bila kushikwa akili) utakubaliana nami.
Huenda unatatizo la uelewa mkuu.....Uislamu sio Muhammad na haujaketwa na Muhammad

Uislamu ni kunyenyekea Kwa Mwenyezi Mungu Mmoja Tu,,,,huo ndio Uislamu,,,,,je Ibrahim alikuwa anamwabudu Nani? Nuhu alikuwa anamwabudu Nani?
 
Sisi tunawapenda hatutaki muende Motoni,,,,,yeyote atakaye mshirikisha Mwenyezi Mungu mwisho mwisho wake ni kuchomwa Moto.

Mwenyezi Mungu anamsifia Ibrahim Baba wa Imani.

"Hakika Ibrahim alikuwa mfano mwema, mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina."

Surah An nahal -120
Nimekuuliza hiviiiiii:

Mbona sijawahi kuwasikia Wakristo wakijaribu kujiprove kwa kutumia Quran?
Kwa nini ni nyie mnaojaribu kujiprove kwa kutumia Bible?
 
Huenda unatatizo la uelewa mkuu.....Uislamu sio Muhammad na haujaketwa na Muhammad

Uislamu ni kunyenyekea Kwa Mwenyezi Mungu Mmoja Tu,,,,huo ndio Uislamu,,,,,je Ibrahim alikuwa anamwabudu Nani? Nuhu alikuwa anamwabudu Nani?
Mimi naelewa sana hizo theory za sijui uislam ulikuwepo tola Adam na blah blah kama hizo ambazo HUWEZI KUZIPROVE POPOTE.

Sikia:

Uislam umeletwa na Muhammad. Kabla ya Muhammad Hakukuwahi kuwepo na Uislam popote pale.

Na hata nikikuambia uni-provie kuwa uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad najua Hutaweza.
 
Tatizo lako kinachokujia akilini mwako unapozungumzia Uislamu ni kanza na kofia ndio maana inakuwa ngumu Jambo hili kuingia akilini,,,,,, Muhammad alikuja kuukamilisha Kwa kuingezewa Sheria mbali mbali,,,,mfano huko nyuma watu walikuwa wanaswali mar mbili Kwa siku,lkn baada ya kuja Muhammad ikaja Sheria ya kuswali swala tano na kadhalika,,,,,any way tuliache hili kama lilivyo,,,,hatapatikana mshindi hapa na Nia si kutafuta mshindi
 
Nimekuuliza hiviiiiii:

Mbona sijawahi kuwasikia Wakristo wakijaribu kujiprove kwa kutumia Quran?
Kwa nini ni nyie mnaojaribu kujiprove kwa kutumia Bible?
Hatuji prove Bali tunaweka rekodi Sawa kupitia Qur'an,,,,,unajua Qur'an imekuja kusahihisha makosa ambayo yaliingizwa ktika vitabu vilivyopita na kuweka Imani juu ya Mungu iwe sahihi,,,,,mfano soma biblia utaona Yesu anasema juu ya kumwamini Mungu Mmoja lkn nyinyi katika mafundisho yenu mnafanya Yesu kuwa Mungu,,,,hapo Qur'an inaingia na kuweka mambo Sawa...

Naomba uniletee kifungu katika biblia ambacho kinasema Yesu alisema mumuabudu au alijiita Mungu,,naapa ukiniketea nitakuwa mkristo na kuvaa msalaba mkubwa kabisa hujapata ona.
 
Tatizo lako kinachokujia akilini mwako unapozungumzia Uislamu ni kanza na kofia ndio maana inakuwa ngumu Jambo hili kuingia akilini,,,,,, Muhammad alikuja kuukamilisha Kwa kuingezewa Sheria mbali mbali,,,,mfano huko nyuma watu walikuwa wanaswali mar mbili Kwa siku,lkn baada ya kuja Muhammad ikaja Sheria ya kuswali swala tano na kadhalika,,,,,any way tuliache hili kama lilivyo,,,,hatapatikana mshindi hapa na Nia si kutafuta mshindi

Kanzu na kofia sio mavazi ya Kiislam ila ni mavazi ya utamaduni ya watu wa Mashariki ya Kati.

Turudi kwenye mada sasa.

Hebu Nipe Uthibitisho kuwa kabla ya Muhammad kulikuwa na Uislam.

Let evidence yoyote ile unayoijua inayoweza kuthibitisha kuwa kabla ya Muhammad Uislam uliexist.

Nasubiri hapa.
 
Mimi ni Mkatoliki, tena ex seminarian na niliachia ngazi hatua moja kabla sijawa shemasi. Kanisa Katoliki japo bado lina waumini wengi, kiuhalisia limepoteza kabisa mwelekeo. Limetoka kuwa chombo cha ukombozi wa mwanadamu kiroho (human spiritual redemption) na kumgeuza muumini wake kuwa mtaji wa maendeleo ya kanisa. Ukienda kanisani, wimbo, mahubiri, semina na Kila kitu ni MICHANGO tu. Hakuna sehemu au mahali popote ambapo kanisa linashughulika na maendeleo ya kiroho ya muumini wake na ukitaka uimbwe sana kanisani, toa sadaka na michango sana. Lakini ukiomba uchangiwe na kanisa hata ada ya mwanao, kanisa halina kabisa habari nawe. Wakatoki ni mbumbumbu kabisa wa Neno la Mungu Kwa sababu licha ya mapadri wetu kusoma sana, lakini hawatufundishi chochote kanisani zaidi ya kuhimiza tu michango isiyokwisha na isiyo na maelezo timilifu. Hivyo kwenda kwa Mwamposa is inevitable na kwa kuwa viongozi wa kanisa Katoliki, ni waoga sana kupoteza supremacy (Kwa vile wao hawana karama ya kutenda miujiza), basi ni lazima wampinge Mwamposa
 
Kanzu na kofia sio mavazi ya Kiislam ila ni mavazi ya utamaduni ya watu wa Mashariki ya Kati.

Turudi kwenye mada sasa.

Hebu Nipe Uthibitisho kuwa kabla ya Muhammad kulikuwa na Uislam.

Let evidence yoyote ile unayoijua inayoweza kuthibitisha kuwa kabla ya Muhammad Uislam uliexist.

Nasubiri hapa.
Umeanimbia nilete evidence yoyote Ile,,,,nakuletea kutoka ktk Qur'an

"Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu."

Surah Imran- 19

Naomba na wewe Tu unionyeshe katika biblia mstari unao sema kuwa ukristo ni Dini.

Halafu nakumbusha usisahau kuniletea mstari ktk biblia kuwa Yesu alisema mumuabudu na kuwa yeye ni Mungu,,,,narudia tena ukileta utanibaatiza na nitakuwa mkristo.

Nasubiria mkuu!
 
Baki kwenye mada ya "Uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad". Usirukeruke kama kwenye muhadhara. Tulia hapa halafu tutaenda huko kwenye ishu hizo ulizouliza.

Back to the topic:

Hiyo Surah imran 19 si imeandikwa juzi hapo baada ya Muhammad kufariki?(wakati quran ilipoandikwa/kusanywa?)

Sasa unanipaje Uthibitisho wa uislam kuwepo huko zamani kwa kutumia kitabu kilichoandikwa juzi hapo karne ya 6 baada ya Muhammad?

Nataka Uthibitisho kuwa Uislam ulikuwepo kabla
 
Ni kweli hajakosea kuna mwislamu jina ambaye msikiti wala mafunzo hayajui ye amezaliwa tu ktk uislamu

Ukisoma mafunzo (madrasa) huwezi fanya hivyo nakuhakikishia kaulize kote utaambiwa hivi nilivyokwambia

Kwa uislamu kuingia kanisani au kuombewa na mkristo ni kufuru kubwa sana
Usipopata tatizo neno kufuru rahisi sana kukutoka.
 
Shida haina baunsa. Ukiwa na shida sanasana changamoto za ugonjwa mkubwa huchagui unatibiwa wapi. Iwe kwenye tunguri sawa, iwe msikitini sawa iwe kanisani sawa. Wapo wanaofanya kwa siri ni wanafiki wengi sana lakini wapo wanaokuwa wazi na Mungu anawasamehe
Kijichi kuna mtoto wa sheikh baada kuona majini yamemuandama wakampeleka kwa mtumishi akaombewa akapona kaukataa uislamu na kaolewa na mkristo,mimi ni shuhuda wa hili.
 
Mimi Sina tatizo na uislamu ila waislamu wengi wana unafiki Sana naishi nao muda mwingi sana..

Kuna mtu mmoja akanijibu eti pale kwa mwamposa hakuna muislamu anayeenda hata mmoja wale ni mamluki tu Wala siyo waislamu.Muislamu halali hathubutu kukanyaga kanisani maana ni haram,nikaamua kumpotezea badala ya kubishana

Huyu shehe ndy ameona mbali na ameukubali ukweli kwamba Kuna wamama wengi Sana wa kiislamu wanaenda kwa mwamposa so tyr Kuna tatzo na wao Kama viongozi wa kiislamu na waislamu wote wanapaswa kulitatua..Hizi Mambo za kila linapotokea Jambo wasilolipenda wanasingizia hao siyo' waislamu halitawasaidia hata kidogo'

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Duh
 
Back
Top Bottom