Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Ila wakatoliki walivyolia na mwamposa kule iringa wao hawana shida? matatizo ya alhadi msihusishe waislam wote
Ninyi si ndiyo mnajiita “SISI NI WAMOJA KTK IMANI”?

Unamtoaje sheikh Alhdi Mussa ktk hili?
 
Aende na yeye akaombewe. Usikute anafuatilia kipindi cha ukombozi wa familia kisirisiri.
Wako wengi tu viongozi wa dini zote humfuatilia.Ndio maana hata yeye kajua kua wanawake waislamu wanaenda yawezekana hata ndugu zake au wakeze

Wako akina Nikodemu.kibao kama waliomwendea Yesu Usiku kutaka msaada.Viongozi wengi tu wa dini hutumia maji na mafuta ya upako ya Mwamposya .Huagiza waumini wawapelekee au ndugu zao wamo hadi mashehe na Maimamu,mapdre ,maaskofu,masista na wachungaji kibao.Viongozi wa bunge,Serikali na mahakama huko usiguse kabisa wako kibao .

Huyo Mwamposya ni namba nyingine.
 
Kuna demu wangu anaitwa Asma Ni muislamu yule orginal haswa siku moja nimeenda kwake nikawa namfanyia massage ya mgongoni wkt naendelea nikaona kama mafuta yanaisha nikajiongeza kucheki ktk draw yake bwanaa eeh nikakutatana na vichupa viwili vile vya mwamposa kahifadhi kwenye draw Yake nilihis ni Siri anafanya kwani alivyoniona natafuta mafuta aksema usifungue draw yangu toka njje kanunue mafuta ya naz nikatoka huku nacheka kimoyomoy kuwa hata hyu ustadh dhat nae anatumia mafuta ya mwamposa ..nilifurahi Sana nikasema apostle Kuna miujiza imetokeaa
Baada ya kumaliza massage najuwa mnajuwa kilichoendeleaa ,,,,,,[emoji39]


Basi baadae Asma wanting alienda kutoa ushuhuda
 
Huyu hawezi kuacha kuombea wanawake wa kiislam maana anaombea hata wasioenda kanisani kwake. Kuna siku nimemsikia akimuombea dua Mama Samia Suluhu Hassan kwa Mungu amjaalie afya njema na hekima za kuongoza nchi.
Labda serikali ipige marufuku muislam kuombewa na mkristo.
Biblia imeagiza maombi na yafanyike kwa ajili ya watu wote haijabagua.Labda Kurani ndio inabagua .Biblia inatamka kwa watu wote wanatakiwa kuombewa wawe na dini au kawawa wakristo au la kila binadamu anatakiwa kuombewa
 
wacha Mwamposa atajirike , wajinga wapogo
Na anapiga hela kweli kweli!!!

Yupo huyo wa hapo Mbezi somebody Musa ana mpaka kiingilio kuanzia Tsh 5,000/= kwa Tsh 100,000/= na wajinga hawaishi waje kustuka wanakuta anazo apartment anapangisha wazungu na wachina hapo Oystabey
 
Na anapiga hela kweli kweli!!!

Yupo huyo wa hapo Mbezi somebody Musa ana mpaka kiingilio kuanzia Tsh 5,000/= kwa Tsh 100,000/= na wajinga hawaishi waje kustuka wanakuta anazo apartment anapangisha wazungu na wachina hapo Oystabey
Bongo tumia akili tu, unaruka na fools wafia dini kiulaini
 
Anajua wito wake ndio maana hahangiiki

Kuna wengine hawajui wito wao ndio maana .Yesu aliwatuma wakamhubiri Yesu wao kusimama madhabahuni kuhubiri Mwamposya!!!! Utafikiri Mungu aliwatuma kuwa nendeni mkamhubiri Mwampsya!!

Huyo Mwamposya ndio kiongozi wangu nasali kwake mimi

Ukiona watu wanajaa vile pana kitu wanapokea .Wasomi wamejaa pale wenye hela zao na mali zao Hakuna kanisa inajaa watu wenye magari mengi ya uhakika kama kwa Mwamposya kuonyesha wazi wao sio wajinga

Vilinge vya mashehe vipo Kibao lakini huko hawapati ufumbuzi ndio maana huenda kwa Mwamposya.Kungekuwa na ufumbuzi huko wasingeenda

Hata kwa baadhi ya Wakristo kuna shida mtu anakuwa na Tatizo lake kwenye dini yake alipo hapati ufumbuzi akienda kwa Mwamposya anapata ufumbuzi sio tu anawaambia wengine lakini wanaomjua mtaani kwake wanaona kweli mwenzetu shida yake imeisha.Ndio maana unakuta makundi makubwa anainuka kwenda hayajali cha dini yao wala nini

Tatizo huwa na nguvu kuliko dini lisipopata ufumbuzi

Mwamposya ana ufumbuzi wa matatizo kitiu ambacho baadhi ya viongozi wa dini hawana wanachukua wao kutwa ni kugeuza misikiti au makanisa madarasa tu ya kufundisha Biblia au Kurani na kukusanya sadaka
Je mkuu YEHODAYA mtume na nabii mwamposa anakuwa na ibada ngapi kwa juma moja

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuenda vilingeni kuombewa mimi jambo hilo sijawahi kufanya na sipendezi mtu kufanya iwe kwa Shekhe au yeyote yule kwanza naona kama najishusha thamani kwa kumuweka mtu wa Kati baina ya Mwenyezi Mungu na mimi pamoja na kujidharau kuwa mimi siwezi kukubaliwa maombi yangu mpk mtu aingilie wakati Mwenyezi Mungu anapenda kila mtu amuombe tena kwa unyenyekevu ma moyo mkunjufu.

Nani kakuambie wewe dua zako hazistahili kujibiwa mpk uangaike kwa watu wakuombee ? tatizo naona wapo wapo mbali na Mungu katika maisha yao ya kila siku ndio maana wakipata matatizo hawajiamini mpaka kutafuta mtu wa kumuombea wakati vizuri zaidi mtu kujiombea mwenyewe bila kujali upo hali gani kwani dua ni ibada kubwa na Mwenyezi Mungu anaweza kukubali maombi ya mtu yeyote kama Shetani aliomba apewe muda asife mpaka mwishoni kea nini wewe ujikatie tamaa utafute mtu wa Kati ?
 
Na anapiga hela kweli kweli!!!

Yupo huyo wa hapo Mbezi somebody Musa ana mpaka kiingilio kuanzia Tsh 5,000/= kwa Tsh 100,000/= na wajinga hawaishi waje kustuka wanakuta anazo apartment anapangisha wazungu na wachina hapo Oystabey
Mtu anatumia pesa yake aliyoipata kihalali iutamwitaje mjinga? Mtu akipata pesa yake mwingine wanakwenda kuhonga wanawake au wanaume pesa,magari au majumba na wengine wanaenda kulewea pombe,mwingine anaenda kununua gongo,mwingine anaenda kununua bangi ,mwingine anaenda kununua ugoro au sugar,mwingine anaenda kutoa sadaka,mwingine anaenda kumpa pesa nabii ,mwingine anaenda kununua maji ya upako au mafuta ya upako.Kwa nini ukomalie pesa ya mtu aliyoipata kihalali asiitumie atakavyo? Pesa yako wewe nani anaifuatilia kuwa unaitumiaje? Tusipangiane.Tafuta pesa yako na wewe tumia utakavyo koma kufuatilia pesa za wengine wakipata wanatumiaje.Hangaika na za kwako lofa wewe.Kwa hiyo kwako mtu akitoa laki kwa umaskini wako unaona hiyo ni pesa nyingi sana?
Nenda ukaombewe umaskini ukutoke wa kuona laki moja ni hela nyingi mtu akitoa.hadi mdomo wako unabaki wazi!!

Una pepo la umaskini
 
Sasa Chifu, Kanisa kutoa mwongozo kwa waumini wake, ndiyo kulia?

Yaani mfano wewe hapo kama baba/mama wa familia uamue kumpiga marufuku mtoto wako kwenda kuangalia tv/kucheza kwa majirani; ndiyo unakuwa unalia lia?
 
Mimi Sina tatizo na uislamu ila waislamu wengi wana Sana naishi nao muda mwingi sana..

Kuna mtu mmoja akanijibu eti pale kwa mwamposa hakuna muislamu anayeenda hata mmoja wale ni mamluki tu Wala siyo waislamu.Muislamu halali hathubutu kukanyaga kanisani maana ni haram,nikaamua kumpotezea badala ya kubishana

Huyu shehe ndy ameona mbali na ameukubali ukweli kwamba Kuna wamama wengi Sana wa kiislamu wanaenda kwa mwamposa so tyr Kuna tatzo na wao Kama viongozi wa kiislamu na waislamu wote wanapaswa kulitatua..Hizi Mambo za kila linapotokea Jambo wasilolipenda wanasingizia hao siyo' waislamu halitawasaidia hata kidogo'

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ni kweli hajakosea kuna mwislamu jina ambaye msikiti wala mafunzo hayajui ye amezaliwa tu ktk uislamu

Ukisoma mafunzo (madrasa) huwezi fanya hivyo nakuhakikishia kaulize kote utaambiwa hivi nilivyokwambia

Kwa uislamu kuingia kanisani au kuombewa na mkristo ni kufuru kubwa sana
 
Kuna demu wangu anaitwa Asma Ni muislamu yule orginal haswa siku moja nimeenda kwake nikawa namfanyia massage ya mgongoni wkt naendelea nikaona kama mafuta yanaisha nikajiongeza kucheki ktk draw yake bwanaa eeh nikakutatana na vichupa viwili vile vya mwamposa kahifadhi kwenye draw Yake nilihis ni Siri anafanya kwani alivyoniona natafuta mafuta aksema usifungue draw yangu toka njje kanunue mafuta ya naz nikatoka huku nacheka kimoyomoy kuwa hata hyu ustadh dhat nae anatumia mafuta ya mwamposa ..nilifurahi Sana nikasema apostle Kuna miujiza imetokeaa
Baada ya kumaliza massage najuwa mnajuwa kilichoendeleaa ,,,,,,[emoji39]


Basi baadae Asma wanting alienda kutoa ushuhuda
Mwislamu jina huyo
 
Back
Top Bottom