Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninyi si ndiyo mnajiita “SISI NI WAMOJA KTK IMANI”?Ila wakatoliki walivyolia na mwamposa kule iringa wao hawana shida? matatizo ya alhadi msihusishe waislam wote
Wako wengi tu viongozi wa dini zote humfuatilia.Ndio maana hata yeye kajua kua wanawake waislamu wanaenda yawezekana hata ndugu zake au wakezeAende na yeye akaombewe. Usikute anafuatilia kipindi cha ukombozi wa familia kisirisiri.
Biblia imeagiza maombi na yafanyike kwa ajili ya watu wote haijabagua.Labda Kurani ndio inabagua .Biblia inatamka kwa watu wote wanatakiwa kuombewa wawe na dini au kawawa wakristo au la kila binadamu anatakiwa kuombewaHuyu hawezi kuacha kuombea wanawake wa kiislam maana anaombea hata wasioenda kanisani kwake. Kuna siku nimemsikia akimuombea dua Mama Samia Suluhu Hassan kwa Mungu amjaalie afya njema na hekima za kuongoza nchi.
Labda serikali ipige marufuku muislam kuombewa na mkristo.
Na anapiga hela kweli kweli!!!wacha Mwamposa atajirike , wajinga wapogo
Bongo tumia akili tu, unaruka na fools wafia dini kiulainiNa anapiga hela kweli kweli!!!
Yupo huyo wa hapo Mbezi somebody Musa ana mpaka kiingilio kuanzia Tsh 5,000/= kwa Tsh 100,000/= na wajinga hawaishi waje kustuka wanakuta anazo apartment anapangisha wazungu na wachina hapo Oystabey
Nini kimetokea?nikasema apostle Kuna miujiza
Je mkuu YEHODAYA mtume na nabii mwamposa anakuwa na ibada ngapi kwa juma mojaAnajua wito wake ndio maana hahangiiki
Kuna wengine hawajui wito wao ndio maana .Yesu aliwatuma wakamhubiri Yesu wao kusimama madhabahuni kuhubiri Mwamposya!!!! Utafikiri Mungu aliwatuma kuwa nendeni mkamhubiri Mwampsya!!
Huyo Mwamposya ndio kiongozi wangu nasali kwake mimi
Ukiona watu wanajaa vile pana kitu wanapokea .Wasomi wamejaa pale wenye hela zao na mali zao Hakuna kanisa inajaa watu wenye magari mengi ya uhakika kama kwa Mwamposya kuonyesha wazi wao sio wajinga
Vilinge vya mashehe vipo Kibao lakini huko hawapati ufumbuzi ndio maana huenda kwa Mwamposya.Kungekuwa na ufumbuzi huko wasingeenda
Hata kwa baadhi ya Wakristo kuna shida mtu anakuwa na Tatizo lake kwenye dini yake alipo hapati ufumbuzi akienda kwa Mwamposya anapata ufumbuzi sio tu anawaambia wengine lakini wanaomjua mtaani kwake wanaona kweli mwenzetu shida yake imeisha.Ndio maana unakuta makundi makubwa anainuka kwenda hayajali cha dini yao wala nini
Tatizo huwa na nguvu kuliko dini lisipopata ufumbuzi
Mwamposya ana ufumbuzi wa matatizo kitiu ambacho baadhi ya viongozi wa dini hawana wanachukua wao kutwa ni kugeuza misikiti au makanisa madarasa tu ya kufundisha Biblia au Kurani na kukusanya sadaka
Dad huyu alikuwa anasumbuliwa na maumivu katka mgongo a mabegani ndipo nilipo mpak mafuta yako ya upako maumivu Yale yalitoweka hapohapo na sas anaendeleaa vzrNini kimetokea?
Kuenda vilingeni kuombewa mimi jambo hilo sijawahi kufanya na sipendezi mtu kufanya iwe kwa Shekhe au yeyote yule kwanza naona kama najishusha thamani kwa kumuweka mtu wa Kati baina ya Mwenyezi Mungu na mimi pamoja na kujidharau kuwa mimi siwezi kukubaliwa maombi yangu mpk mtu aingilie wakati Mwenyezi Mungu anapenda kila mtu amuombe tena kwa unyenyekevu ma moyo mkunjufu.
Jumanne,Ijumaa na Jumapili jumla huwa ibada nne.jumanne .Jumapili ziko mbiliJe mkuu YEHODAYA mtume na nabii mwamposa anakuwa na ibada ngapi kwa juma moja
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mtu anatumia pesa yake aliyoipata kihalali iutamwitaje mjinga? Mtu akipata pesa yake mwingine wanakwenda kuhonga wanawake au wanaume pesa,magari au majumba na wengine wanaenda kulewea pombe,mwingine anaenda kununua gongo,mwingine anaenda kununua bangi ,mwingine anaenda kununua ugoro au sugar,mwingine anaenda kutoa sadaka,mwingine anaenda kumpa pesa nabii ,mwingine anaenda kununua maji ya upako au mafuta ya upako.Kwa nini ukomalie pesa ya mtu aliyoipata kihalali asiitumie atakavyo? Pesa yako wewe nani anaifuatilia kuwa unaitumiaje? Tusipangiane.Tafuta pesa yako na wewe tumia utakavyo koma kufuatilia pesa za wengine wakipata wanatumiaje.Hangaika na za kwako lofa wewe.Kwa hiyo kwako mtu akitoa laki kwa umaskini wako unaona hiyo ni pesa nyingi sana?Na anapiga hela kweli kweli!!!
Yupo huyo wa hapo Mbezi somebody Musa ana mpaka kiingilio kuanzia Tsh 5,000/= kwa Tsh 100,000/= na wajinga hawaishi waje kustuka wanakuta anazo apartment anapangisha wazungu na wachina hapo Oystabey
Sasa Chifu, Kanisa kutoa mwongozo kwa waumini wake, ndiyo kulia?Iringa: Kanisa Katoliki lawazuia waumini walioshiriki kongamano la Mwamposa kutopokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu mpaka watakapoungama
Kanisa la Roman Catholic Iringa limefukuza na kutoa onyo kali kwa washirika wake waliohudhuria kongamano la Mwamposa na wengine walionunua maji na mafuta kwenye mkutano wakewww.jamiiforums.com
nKumbuka wakatoliki ndio walianza kulia na mwamposa
narudia tenaHata ukinitukana haisaidii, uzi upo humu
Ni kweli hajakosea kuna mwislamu jina ambaye msikiti wala mafunzo hayajui ye amezaliwa tu ktk uislamuMimi Sina tatizo na uislamu ila waislamu wengi wana Sana naishi nao muda mwingi sana..
Kuna mtu mmoja akanijibu eti pale kwa mwamposa hakuna muislamu anayeenda hata mmoja wale ni mamluki tu Wala siyo waislamu.Muislamu halali hathubutu kukanyaga kanisani maana ni haram,nikaamua kumpotezea badala ya kubishana
Huyu shehe ndy ameona mbali na ameukubali ukweli kwamba Kuna wamama wengi Sana wa kiislamu wanaenda kwa mwamposa so tyr Kuna tatzo na wao Kama viongozi wa kiislamu na waislamu wote wanapaswa kulitatua..Hizi Mambo za kila linapotokea Jambo wasilolipenda wanasingizia hao siyo' waislamu halitawasaidia hata kidogo'
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mwislamu jina huyoKuna demu wangu anaitwa Asma Ni muislamu yule orginal haswa siku moja nimeenda kwake nikawa namfanyia massage ya mgongoni wkt naendelea nikaona kama mafuta yanaisha nikajiongeza kucheki ktk draw yake bwanaa eeh nikakutatana na vichupa viwili vile vya mwamposa kahifadhi kwenye draw Yake nilihis ni Siri anafanya kwani alivyoniona natafuta mafuta aksema usifungue draw yangu toka njje kanunue mafuta ya naz nikatoka huku nacheka kimoyomoy kuwa hata hyu ustadh dhat nae anatumia mafuta ya mwamposa ..nilifurahi Sana nikasema apostle Kuna miujiza imetokeaa
Baada ya kumaliza massage najuwa mnajuwa kilichoendeleaa ,,,,,,[emoji39]
Basi baadae Asma wanting alienda kutoa ushuhuda