Alhaj Kova: Waislam na wasio Waislam tunaahidi kumpa ushirikiano wa kutosha Rais Samia

Serikali imekupa cheo cha kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini Bakwata

Inakuaje useme Waislam na wasio waislam wameahidi… hiyo ya Wasio Waislam umepata wapi Mamlaka ya kuwa Msemaji wao?
Nimekuelewa bwashee....... Hahahaaaa!
 
Serikali imekupa cheo cha kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini Bakwata

Inakuaje useme Waislam na wasio waislam wameahidi… hiyo ya Wasio Waislam umepata wapi Mamlaka ya kuwa Msemaji wao?
Kaiga kutoka kwa Sheikh Mkuu wa Dar alieomba kwa Jina la Yesu na Mohammad.
 
Daah! Nimeyamisi yale Malolo
russ.png
 
Serikali imekupa cheo cha kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini Bakwata

Inakuaje useme Waislam na wasio waislam wameahidi… hiyo ya Wasio Waislam umepata wapi Mamlaka ya kuwa Msemaji wao?
Kweli hilo nalo neno sana mkuuu
 
Leo Rashidi gwajima ndie boss wake kova kova bingwa wa propaganda za kuonyesha mitutu mbele ya camera panapo tukio.
Unaemnyanyasa leo kesho ndie boss wako.
 
Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Bakwata alhaj Seleman Kova amesema waislamu na wasio waislamu wanaahidi kumpa kila aina ya ushirikiano Rais Samia

Kova amesema hayo wakati wa swala ya Eid El Fitr.

Source ITV habari

Eid Mubarak!
Hakuna kitu kilichoniuma kama Mufti kuongelea tende! Amekosa yote ya kuongelea ameongelea tende, ndio maana tunaonekana tuna viongozi wasio na upeo!
 
Back
Top Bottom