Alhaj Kova: Waislam na wasio Waislam tunaahidi kumpa ushirikiano wa kutosha Rais Samia

Hakuna kitu kilichoniuma kama Mufti kuongelea tende! Amekosa yote ya kuongelea ameongelea tende, ndio maana tunaonekana tuna viongozi wasio na upeo!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hee,,kova nae ni'Al haj!,,kwani kuwa Al haj ni shilingi ngapi?
 
Kwenye Bakwata Nyerere alitufunga Goli la kudumu Waislam wa Tanzania!

Kusawazisha bao hilo ni kufa kwa Bakwata!
Ikifa Bakwata mtaanzisha nini? Hivi nchi nyingine waislamu wanawakilishwaje?
 
Kwenye Bakwata Nyerere alitufunga Goli la kudumu Waislam wa Tanzania!

Kusawazisha bao hilo ni kufa kwa Bakwata!

Kamwe haitowezekana,alikuja Alhaj Mwinyi kashindwa akafuata Ustadhi Kikwete katoka kapa sasa huyu Bi Mkubwa kutoka Pemba wala hana habari nayo.

Kazi iendelee.
 
Kwenye Bakwata Nyerere alitufunga Goli la kudumu Waislam wa Tanzania!

Kusawazisha bao hilo ni kufa kwa Bakwata!

Chakusikitisha ni kuwa licha ya kuyajua yote hayo bado umekua Kada mtiifu kwa CCM
 
Sasa unataka nihamie Chadema ya Edwin Mtei alielalamika 2014 kuwa Tume ya Jaji Warioba haitotenda Haki kwa kuwa ina Waislam wengi lakin akaufyata kwny Cabinet ya Mwenda zake iliyokuwa na Waislam watatu na Wakristo 27?

Matokeo ya hiyo Tume yenye 'Waislam wengi' hadi leo inaliliwa na Kina Mtei walioiponda

Bado haihalalishi kuishabikia CCM
 
Back
Top Bottom