johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
KwannKwenye Bakwata Nyerere alitufunga Goli la kudumu Waislam wa Tanzania!
Kusawazisha bao hilo ni kufa kwa Bakwata!
Kwann
Nimekuelewa bwashee....... Hahahaaaa!Serikali imekupa cheo cha kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini Bakwata
Inakuaje useme Waislam na wasio waislam wameahidi… hiyo ya Wasio Waislam umepata wapi Mamlaka ya kuwa Msemaji wao?
Kama ilivyo Alhaj Madabida kipindi kile cha mafuriko ya Mamvi alisema Mamvi ni kama vile Mtume Mohammad.Suleiman kumbe Ni Al haj?
Hongera yake
Kaiga kutoka kwa Sheikh Mkuu wa Dar alieomba kwa Jina la Yesu na Mohammad.Serikali imekupa cheo cha kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini Bakwata
Inakuaje useme Waislam na wasio waislam wameahidi… hiyo ya Wasio Waislam umepata wapi Mamlaka ya kuwa Msemaji wao?
Kwani tatizo ni lipi uwepo wa Bakwata?Kwenye Bakwata Nyerere alitufunga Goli la kudumu Waislam wa Tanzania!
Kusawazisha bao hilo ni kufa kwa Bakwata!
Kwani tatizo ni lipi uwepo wa Bakwata?
Kama ilivyo Alhaj Madabida kipindi kile cha mafuriko ya Mamvi alisema Mamvi ni kama vile Mtume Mohammad.
Hakika!Ukijiona hadi leo miaka zaid ya 50 hujui tatizo la Bakwata jua kuwa mambo ya Bakwata hayakuhusu ndio sababu hujui tatizo lako
Kumbe!huyu mzee yuko poa sana,kawasaidia sana wana wasiende keko na segerea kwa mishe za gomba
Kweli hilo nalo neno sana mkuuuSerikali imekupa cheo cha kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini Bakwata
Inakuaje useme Waislam na wasio waislam wameahidi… hiyo ya Wasio Waislam umepata wapi Mamlaka ya kuwa Msemaji wao?
usiniQuote vibayaKumbe!
Hakuna kitu kilichoniuma kama Mufti kuongelea tende! Amekosa yote ya kuongelea ameongelea tende, ndio maana tunaonekana tuna viongozi wasio na upeo!Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Bakwata alhaj Seleman Kova amesema waislamu na wasio waislamu wanaahidi kumpa kila aina ya ushirikiano Rais Samia
Kova amesema hayo wakati wa swala ya Eid El Fitr.
Source ITV habari
Eid Mubarak!