[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hakuna kitu kilichoniuma kama Mufti kuongelea tende! Amekosa yote ya kuongelea ameongelea tende, ndio maana tunaonekana tuna viongozi wasio na upeo!
Tende muhimu!Hakuna kitu kilichoniuma kama Mufti kuongelea tende! Amekosa yote ya kuongelea ameongelea tende, ndio maana tunaonekana tuna viongozi wasio na upeo!
Nauli ya Mecca!Hee,,kova nae ni'Al haj!,,kwani kuwa Al haj ni shilingi ngapi?
Ikifa Bakwata mtaanzisha nini? Hivi nchi nyingine waislamu wanawakilishwaje?Kwenye Bakwata Nyerere alitufunga Goli la kudumu Waislam wa Tanzania!
Kusawazisha bao hilo ni kufa kwa Bakwata!
Kwenye Bakwata Nyerere alitufunga Goli la kudumu Waislam wa Tanzania!
Kusawazisha bao hilo ni kufa kwa Bakwata!
Bakwata haiwezi kufa bwashee!Ikifa Bakwata mtaanzisha nini? Hivi nchi nyingine waislamu wanawakilishwaje?
Bakwata haiwezi kufa bwashee!
Kwenye Bakwata Nyerere alitufunga Goli la kudumu Waislam wa Tanzania!
Kusawazisha bao hilo ni kufa kwa Bakwata!
Chakusikitisha ni kuwa licha ya kuyajua yote hayo bado umekua Kada mtiifu kwa CCM
Sasa unataka nihamie Chadema ya Edwin Mtei alielalamika 2014 kuwa Tume ya Jaji Warioba haitotenda Haki kwa kuwa ina Waislam wengi lakin akaufyata kwny Cabinet ya Mwenda zake iliyokuwa na Waislam watatu na Wakristo 27?
Matokeo ya hiyo Tume yenye 'Waislam wengi' hadi leo inaliliwa na Kina Mtei walioiponda