Fanton mahal tulia braza😀Ahahahahah.
Umeona eeh!
Vijana wanajifanya kukataa huku kinyemela wanasaliti chama.
Hata hawa wanaopondea sana ma single mama ndio hao hao wanaongoza kwalilia.
Anyways, ni sharti damu zitoke masikioni ili kenge aweze kusikia
Usiogope. Kikubwa upendo. Japo tambua hata upendo genuine si kitu kinatosha. Si protection wala provision tu.Fanton mahal tulia braza😀
Tukiona kuna yellow card. Tunatulia na kucheza kwa nidhamu.Usiogope. Kikubwa upendo. Japo tambua hata upendo genuine si kitu kinatosha. Si protection wala provision tu.
Unahitaji kuwa mbunifu sana. Kikubwa usipuuzie yellow flags zi turn red.
Kwan amesema anaoa usukuman au usambaani?Hakikisha watu hawapaswi tu kuingia na kutoka nyumbani mwenu. Nyote mnapaswa kuamua ni nani anayeingia, lini na kwa muda gani. Ni makosa kukubali nyumba yako iwe kama soko ambalo watu wa kila sampuli wanaingia na kutoka wapendavyo....