Alhamdulilah naenda kuanza maisha mapya kwaheri ubachela


MASWALO YA KUJIULIZA KABLA YA KUSAINI:-
1. Nguvu za kiume unazo?
2. Utaweza show siku ya kwanza, baada ya kutoka hapo ukumbini?
3. Utafikia level ya aliyemtoa bikra? asije kukuona boya.
4. Unaweza kuunganisha "bao"?


Kama haya mambo huwezi, baada ya miezi 6 utakuja kuomba ushauri namna ya kuachana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…