Alhamdulilah tumeshinda tumegubikwa na gumbizi la ushindi ila Morroco asirudue tena kupaki basi mapema zikiwa zimebaki dk 25

High work rate players can defeat highly trained players
Ni bidii ya hali ya juu.
sisi tunapaswa kuwa all the time champions wa CHAN.

Wale Sudan tulipaswwa kuwafunga
Kuna mda experience inakubeba uwezi kuleta morali kwa Taifa kama Moroko watakubomoa TU utake usitake
 
Nisiwe mnafiki mimi sina imani na huyu kocha hasa kwa sababu zake za kutokumiata Msuva na Samata kwenye timu ya Taifa hadi wadau walipopaza sauti, tumeuona mchango wa Samata na Msuva.
Utajuaje pengine anawachukia ama hua hawatoi "kitu kidogo" kama wachezaj wa ghana japo imewakosti hawatakuepo afcon.
 
Shukuru ile beki kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…