kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #21
Anahusikaje!Bahati yao jana Baltazar hakuwa na mzuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anahusikaje!Bahati yao jana Baltazar hakuwa na mzuka
Kuna mda experience inakubeba uwezi kuleta morali kwa Taifa kama Moroko watakubomoa TU utake usitakeHigh work rate players can defeat highly trained players
Ni bidii ya hali ya juu.
sisi tunapaswa kuwa all the time champions wa CHAN.
Wale Sudan tulipaswwa kuwafunga
Utajuaje pengine anawachukia ama hua hawatoi "kitu kidogo" kama wachezaj wa ghana japo imewakosti hawatakuepo afcon.Nisiwe mnafiki mimi sina imani na huyu kocha hasa kwa sababu zake za kutokumiata Msuva na Samata kwenye timu ya Taifa hadi wadau walipopaza sauti, tumeuona mchango wa Samata na Msuva.
Shukuru ile beki kati.Leo kama goli lingerudi angemezwa timu ameirudisha nyuma mapema sana dk 25 ni nyingi kwa timu zenye wabunifu huu mtindo wa mwalimu kujilinda kwa kutia mabeki wengi anakosea sana ni vyema timu imeshinda watu hawakuiona tena hayo mapungufu.
Tunakwenda afcon atakutana na Misri au senegal kwa mpango wake ule tunapigwa tu!
Alhamdulilah tumeshinda!
Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024