Alhamdulilah tumeshinda tumegubikwa na gumbizi la ushindi ila Morroco asirudue tena kupaki basi mapema zikiwa zimebaki dk 25

Alhamdulilah tumeshinda tumegubikwa na gumbizi la ushindi ila Morroco asirudue tena kupaki basi mapema zikiwa zimebaki dk 25

High work rate players can defeat highly trained players
Ni bidii ya hali ya juu.
sisi tunapaswa kuwa all the time champions wa CHAN.

Wale Sudan tulipaswwa kuwafunga
Kuna mda experience inakubeba uwezi kuleta morali kwa Taifa kama Moroko watakubomoa TU utake usitake
 
Nisiwe mnafiki mimi sina imani na huyu kocha hasa kwa sababu zake za kutokumiata Msuva na Samata kwenye timu ya Taifa hadi wadau walipopaza sauti, tumeuona mchango wa Samata na Msuva.
Utajuaje pengine anawachukia ama hua hawatoi "kitu kidogo" kama wachezaj wa ghana japo imewakosti hawatakuepo afcon.
 
Leo kama goli lingerudi angemezwa timu ameirudisha nyuma mapema sana dk 25 ni nyingi kwa timu zenye wabunifu huu mtindo wa mwalimu kujilinda kwa kutia mabeki wengi anakosea sana ni vyema timu imeshinda watu hawakuiona tena hayo mapungufu.

Tunakwenda afcon atakutana na Misri au senegal kwa mpango wake ule tunapigwa tu!

Alhamdulilah tumeshinda!

Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
Shukuru ile beki kati.
 
Back
Top Bottom