Alhamisi 1 ya Maandamano imekamilika, Nyomi ni Kazi si kuuza Sura

Alhamisi 1 ya Maandamano imekamilika, Nyomi ni Kazi si kuuza Sura

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Alhamisi 1 ya maandamano Kenya imekamilika. Ilikuwa siku nyingine ya kazi si kuuza sura:

FsYl3KQX0AIeKst.jpeg

Screenshot_20230330-122238.jpg

Screenshot_20230330-175409.jpg

FseRUt9akAIVOLa.jpeg

FseRbFmagAUEuTj.jpeg

Screenshot_20230330-175907.jpg

Screenshot_20230330-175651.jpg

Polisi wafurushwa:

Alhamisi imepita macho jumatatu tena.
 
mmesomewa report na CAG mmeona jinsi kodi zenu zinatafunwa ila hamchukui hatua watu wamebaki kuwa washangiliaji wa maandamano ya kenya.

Hatushangilii ila tunawaonyesha nyote kuwa nyomi si kuuza sura. Tuwahamasishe watu kwa kazi si kuuza sura. Haki hupiganiwa na inawezekana:

Kukumbusha nyomi ni kazi, si kushangilia. Kuonyesha kuwa Kuna gharama za kulipa si kushangilia.

Tuache ujuaji tuhamasishane kwa kazi.

Huo ndiyo msingi wa hoja ndugu mjumbe.
 
Kwa ile ripoti ya CAG jana na ule msimamo laini wa Samia baada ya pale, kazi ilibaki kwetu watanzania kuamua kuwaondoa wezi wote na chama chao madarakani, lakini bahati mbaya...

Inawezekana Samia anaujua ujinga wetu ndio maana sasa anatusukumia mizigo ya serikali yake, sababu anatujua "makondoo" hatutafanya chochote!.
 
Serikali ya CCM inaongoza ng’ombe, hakuna raiya atandamana hapa.
 
Ila US yuko nyuma ya hii kitu,So sad .

Marekani haiko nyuma. Marekani inaheshimu haki za watu. Kukusanyika, kutoa maoni au kuandamana Ili kufikisha ujumbe kwa mamlaka ni haki ya msingi wa binadamu. Haki hiyo hata Ruto anaijua na anawajibika kuiheshimu Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya.
 
mmesomewa report na CAG mmeona jinsi kodi zenu zinatafunwa ila hamchukui hatua watu wamebaki kuwa washangiliaji wa maandamano ya kenya.

Wananchi wanaishi kulalamika mitandaoni then next week watasahau wasubiri tukio lingine waliongelee
 
Bavicha mwenzako huyo bwashee 😄!

Kushindwa kusoma mabandiko vyema tu.

Nyomi si kuuza sura. Nyomi ni kazi. Kazi kuna kulipa gharama.

Tuwahamasishe watu kwa kazi si kuuza sura.

Kipi usichoelewa hapo chawa wewe au awaye yote?
 
Kushindwa kusoma mabandiko vyema tu.

Nyomi si kuuza sura. Nyomi ni kazi. Kazi kuna kulipa gharama.

Tuwahamasishe watu kwa kazi si kuuza sura.

Kipi usichoelewa hapo chawa wewe au awaye yote?
cc: Daudi Mchambuzi
 
Wananchi wanaishi kulalamika mitandaoni then next week watasahau wasubiri tukio lingine waliongelee

Wananchi hawaishi mitandaoni ila wanahamasishana kwa ajili ya kazi ikiwamo kupitia mitandaoni.

Kwani wewe unawahamasishia wapi ndugu?

Zingatia nyomi ni kazi si kuuza sura. Kazi Ina gharama.
 
Back
Top Bottom